Naheshimu mawazo ya Kila aliechangia hapa Kwa kitoa list zenu Kwa Kila mmoja anavoamini yeye
ila nachojua Mimi ni kwamba Kwa miaka hii miwili na kuendelea tangu fid q aingie vacation ya kutoa ngoma na tokea Niki mbishi aanze kuwa haeleweki sijaiona msanii wa kumtoa Dizasta vina
Ukipata time msikilize aisee dogo Yuko mbele ya muda sana, na kuanzia Sasa hakuna best story teller kama yeye, ukiskliza album yake ya The Verteller aisee ni complete package, hakuna kitu hajaongelea na sio kuongelea tu bali very deep
Kwa Heshima niliyonayo Kwa hao ma Malegend naimani hip-hop ipo katika mikono salama kwa wadogo zao hasa Hawa ambao nimefanikiwa kuwafatilia, wako mbele ya muda sana
1. Dizasta vina
2. Mex Cortez
3. Conboi