wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii.
View attachment 278303View attachment 278304View attachment 278305View attachment 278306
unfollow wote hao wapuuzi Kama unafollow
Wanataka kutumia msanii kama diamond kuvuta mashabiki viwanjani hamna kingine, ila hawa wasanii watakuja kulamba matapishi yao, steve nyerere kapewa uongozi uvccm, wema kaahidiwa kodi ya nyumba
Hii ni zamu ya Lowasa hata wafanyeje hata wanunue wasanii wote hawataweza
Nime Unfollow wasanii wajingawajjnga woote Insta.
Hao wasanii wanaoisupport CCM wanafanya hivyo kwasababu ya njaa na ulimbukeni tu,na ni wazi kuwa moyoni wanaipenda na kuiamini UKAWA kuliko CCM ya mafisadi.hata hivyo wapo wachache sana na Wananchi wengine wote Tanzania TUTAMPIGIA KURA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.

Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.
Kijana unaaabisha chuo cha SAUT
SWALI: Inakuaje wasaniii wooooooote waweke the same picture?
Ndoroooooooobo wewe