Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kwa Mara ya kwanza Historian imeandikwa Tanzania. Wasanii wameonesha kupaza sauti zao na kugeuka watetezi wakuu Wa wanchi kuliko hats wabunge tuliowachagua, tukiwa na imani kuwa wangekuwa watetezi wetu.
Mpaka sasa wasanii wamethubutu na wanaendelea kudhubutu kwa kuisema serikali bila hata kuficha wala kupapasa
Hongera sana wasanii wetu, mapambano yanaendelea
Mpaka sasa wasanii wamethubutu na wanaendelea kudhubutu kwa kuisema serikali bila hata kuficha wala kupapasa
Hongera sana wasanii wetu, mapambano yanaendelea