Wasanii waliomsapoti Donald trump

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,277
70,677
Naomba kufaham wasanii au watu maarufu waliomsapoti Donald
Trump wanaoishi USA ,maana wasanii wengi walimsapot Hillary Clinton na kusema "im with her"
Natamani kuwafaham tu nijue maana wa huku kwetu ni shida tupuuu wachache sana wenye msimamo
 
  • Kanye West.
  • Clint Eastwood.
  • Kirstie Alley.
  • Ted Cruz.
  • Aaron Carter.
  • Jon Voight.
  • Willie Robertson.
  • Stephen Baldwin
Kwa msaada wa google
 
wengi black american walikuwa desperate kuhusu Donald kuwa president na wachache sana walihudhuria pale Washington kwenye ile hafla , akiwemo Kanye w.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom