joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,522
Hapo umeongea kweli,matamasha karibia yote upande wa sound wanachemka,yaani mziki nyenze ,MIC nazo zina katika katika.Wataalamu wa sauti bado kabisa Matamasha kama wanapiga masahani ya batii
Hapo umeongea kweli,matamasha karibia yote upande wa sound wanachemka,yaani mziki nyenze ,MIC nazo zina katika katika.Wataalamu wa sauti bado kabisa Matamasha kama wanapiga masahani ya batii
Wanashindwa kutafuta watu Makini katika Sekta hizo Kwa kuogopa kutoa hela ndo yanayotokea kama HayoHapo umeongea kweli,matamasha karibia yote upande wa sound wanachemka,yaani mziki nyenze ,MIC nazo zina katika katika.
Ndio maana hawapapendi zenji maana walwe wadudu kushughulishwa na wao mbalimbaliIfike mahali na sie mashabiki tusiwe wajinga,tukiambiwa mikono juu hakuna kupandisha mikono,wakisema cjui everybody say yeah,tunanyamaza kimya,DJ akikata kipande cha mziki ili mashabiki waitikie,tunaitikia kimoyo moyo bila kutoa sauti,..mbona wataimba tu pumbavu zao,,pesa tulipe halaf tukaimbishwe mwanzo mwisho
Mazoezi ya kuimba maana mnaimbishwa hatarIle tuite nini sijui? Maana sio burudani tena
Ukiondoa banana zoro bushoke ki ba barnaba jide chidi benz na waimbaji wa dans na taarabu wote waliobaki wanatumia auto tune kuboresha sauti zaoDahh.. Ukisikizaga nyimbo zao kwenye audio sauti nzuri mnoooo, ila wakiwaga kwenye hayo matamasha jukwaani sauti kama radi.
Huyo jamaa niliskia kuna show moja alionesha makalio sijui ilifanyika wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua kwenye wasafi festival juzi juzi, katikati ya wimbo Diamond anaongea kwenye microphone anawaambia security kuna mtu anapigana pale I was like what the hell!
Nakubaliana na wewe kitu kinacholeta ugumu ni hawa mosound engineer..aisee ukiangalia show za mbele show imetulia kama coke studio Africa vile kumbe ni live show jukwaani good sound,perfect stage yaani hawa viumbe wametuacha mbali kwa kweliYani hao ma-DJ sijui wamekariri wapi kukata kata muziki kila sekunde. Pia tuna safari ndefu sana (thousand light years) kwenye sound engineering.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... kabisa wangenyooka. Yaani ni mateso I see. Hakuna burudani hapo mkui
Huyu alikuwa kwenye ukabila zaidi kwani anadai kashauriwa akamtoe mbunge wa CUF umakondeni na Mbagala wamejaa Konde, hivyo ilikuwa maandalizi ya ubunge.Ni kweli boss hata leo nimeangalia shoo ya Konde youtube ile aliyopiga bure mbagala muda wote ndo hivyo sema yeah yeah,nikisema john sema maguli magufuli mara mikono juu sema konde boy konde boy sa yeah yeah khaaaa nikasema kwakuwa ni shoo ya bure sawa lakini ilikua kupoteza muda
Kwa na Nigeria?. Lakini U.S.A hivi kama show za R. Kelly,Joh Thomas ilikuwa wakipanda jukwaani ni kuimba mwanzo,mwishoMimi nilidhani wenye tatizo hilo ni wasanii wa kibongo peke yao. Leo nilikuwa naangalia show moja ya Wizkid nikaona swaga ni zile zile.
Penda kuheshimu makubaliano hata ikiwa jero inatakiwa iweke kitu laivu mambo ya kukandamizia ni ushambasasa unataka show ya live kwa Tsh elfu kumi upo serious ww???
Huyu alikuwa kwenye ukabila zaidi kwani anadai kashauriwa akamtoe mbunge wa CUF umakondeni na Mbagala wamejaa Konde, hivyo ilikuwa maandalizi ya ubunge.
Siku hizi mziki vijana kama hawafaidi kabisa. Tofauti na zamani miaka ya 2000's tunaenda disco,mnaburudika mwanzo,mwisho. Mnacheza kweli unarudi home umeburudika vya kutosha. Naangalia fiesta Yaani msanii yuko jukwaani inatakiwa aimbe. Lakini ajabu unapigwa wimbo wake kidogo,msanii utasikia anawaambia watu, wote mikono juu,mara mikono hivi kama mkasi,twende twende twende. Ruka ruka ruka. Sema yeyaaaa,sema wawawwaaaa,sema Wii. Piga miruz ya kutosha,tuko vizuri. Haya weka mikono hivi,twende,tuko vizuri. Mikono juu wooteeee. Mpaka anatoka jukwaani mtindo ni huo tu. Anakuja msanii mwingine mambo ni hayo hayo mtindo ni huo huo. Sasa nauliza mashabiki wanaufurahia uimbaji wa msanii au kufurahia kucheza mziki saa ngapi?. Mpaka shabiki anaondoka eneo alitoa kiingilio mikono ndio iliyochoka kwa kuipaisha juu,kama anavyotakiwa afanye na msanii. Wasanii wetu wana-FAIL wapi? Kwa nini asipande jukwaani akagonga nyimbo zake sawa sawa,mwanzo mwisho,watu waondoke pale wamesuuzika kabisa moyoni kwa burudani ya jukwaani ya kutosha?. Naona bora uende disco sasa
Performance ni live band na reggae heavyweighthahaha.... mimi naendaga live band napata vitu original.