Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

Hidden Diamond

Senior Member
Joined
Jan 31, 2024
Posts
156
Reaction score
318
Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM.

Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii ambavyo yanashindwa kuitetea pale ambapo inateseka yakisikia CCM kuna tukio lolote utakuta yote yamevaa suti ya kijani kama majani ya mapapai hayo yanaenda.

Misanii ya bongo mingi ni mibilinganya inadhani CCM itatawala milele haijui.Wasanii nyie hamuoni kama kunasehemu inavuja kwenye nchi hii kuanzia masuala ya katiba, tume ya uchaguzi, utekaji pia mnakazana tu kusema oktoba tunatiki kwa ajili ya uchawa na vipesa vidogo hivyo mnavyopewa nyie mnajwaza tu nyie haya Sawa muda utaongea lakini😔😔😔😔😔
 
Noma sana
IMG-20250804-WA0205.jpg
 
Na nikweli wao ni kioo Cha jamii maana uoga wao ni uoga halisi wa watanzania tunabaki kulalamika kwenye mitandao ila hamna kipya kinachotokea
 
Hata CHADEMA ni CCM waliochangamka tu lakini wote ndio walewale tangu enzi za Lowasa
 
Back
Top Bottom