PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu

Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?

Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.

===

Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam.

"Hawa watu hawaja kwa bahati mbaya kama hamjui, hawa watu wanatumika vibaya na watu wenye hofu ya kushindwa katika taifa letu na hawa si wengine ni chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Mimi nilikuwa kule wana mipango mingi miovu" -Jimmy Mafufu, Muigizaji

Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Msanii wa 'Bongo Movie' awashukia viongozi wa dini waliotaka Lissu aachiwe, ahoji maagizo hayo yametoka kwa Bwana?

Hahaha

Eti msanii wa bongo muvi anashindana na bonge la literate east africa martha.

Msaaani huyu ambae jini amevaa tisheti ya simba ana kimbia bajaj isimgonge bara barani

FOOLS.

Anyway mi nadhania tanzania ni bonge la nchi yenye uendawazimu ambao umekuwa glorified kuwa kitu cha kawaida
 
Mtu aliyefeli shule huko ndani ndani eti naye anapanua kinywa kumsema Martha dah, confidence na ujinga vikikutana ni Combo mbaya sana
 
Wakuu

Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?

Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.

===

Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam.
View attachment 3342980
View attachment 3342984
Anaongea hivyo ila akikutanishwa na Martha Karua face to face utaona anavyorudisha mkia nyuma kama Mbuzi wa Ukerewe.
 
Wakuu

Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?

Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.

===

Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam.
View attachment 3342980
View attachment 3342984
Wachumia tumbo wanakula tu pesa za walipa kodi inauma sana kuona sagaji la taifa linatapanya tu pesa ambazo bodaboda, mamantilie na wavuja jasho wengine wanalipia kupitia tozo na kodi mbalimbali. Any uzuri ana muda mfupi sana wa kuendelea kufanya uchafu wake.
 
Back
Top Bottom