Bongo movies ndo wanaoongoza kuishabikia CCM. Huwaga NAFURAHI sana ninapoona CD FEKI za bongo movie zikiuzwa kariakoo kwa bei ya jero jero! Ngoja waibiwe weeeeee kaz zao, maana hamna namna nyingine
Wakuu habarini,
Wakati prof Jay anapiga kampeni kule jimbo la Mikumi Morogoro, asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanapiga kampeni za CCM, hakuna msanii hata mmoja aliyempigia kampen prof. Jay lakini leo hii prof. Jay ameshinda, wasanii haohao eti wanamtaka awapiganie bungeni chondechonde prof.jay usije kuwasemea wasanii wa Tanzania nenda kawasemee wananchi wa mikumi na watz wengine ila sio wasanii.
Tanzania Indstry ya Filamu imekufa rasmi.
Na tutaziburn tuu kwa maana hamna namna nyingine.
Mike T na Emson Kabogi wameandika kwenye wall zao huku wakiwa wamepiga picha prof Jay wakisema.
" Prof Jay si Mbunge wa Wasanii ni mbunge wa mikumi hivyo anaenda kuwatetea wananchi wa jimbo lake na si Wasanii tunaomba mmuelewe"
Tanzania Indstry ya Filamu imekufa rasmi.
na tunapunguza bei ya kukodishia sasa itakuwa mia mbili hamsini kwa part one na two na hata kama huna hela we njoo tu, yanajadilika. na ukipoteza hatukudai tutaburn nyingine... sheeeeeenzy bongo movie
Wakuu habarini,
Wakati prof Jay anapiga kampeni kule jimbo la Mikumi Morogoro, asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanapiga kampeni za CCM, hakuna msanii hata mmoja aliyempigia kampen prof. Jay lakini leo hii prof. Jay ameshinda, wasanii haohao eti wanamtaka awapiganie bungeni chondechonde prof.jay usije kuwasemea wasanii wa Tanzania nenda kawasemee wananchi wa mikumi na watz wengine ila sio wasanii.
wasanii watatetewa na wema sepetu baada ya kuzawadiwa ukuu wa wilaya..