Wasanii: Prof. Jay tusemee bungeni na utupiganie!

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
1,485
Reaction score
2,754
Wakuu habarini,
Wakati prof Jay anapiga kampeni kule jimbo la Mikumi Morogoro, asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanapiga kampeni za CCM, hakuna msanii hata mmoja aliyempigia kampen prof. Jay lakini leo hii prof. Jay ameshinda, wasanii haohao eti wanamtaka awapiganie bungeni chondechonde prof.jay usije kuwasemea wasanii wa Tanzania nenda kawasemee wananchi wa mikumi na watz wengine ila sio wasanii.
 
Wamitulinga ni mbunge wa jimbo la Mikumi, atawatetea wao na taifa kwa ujumla bila ubaguzi wakubwa kwa wadogo
 
nyie wasanii washenzi siwezi kuwasemea kwa sababu mliniacha na kuambatana na magufuri . nilipo waomba wasanii mje kunisaidia mligoma eti leo nyoko nyoko pu.............
 
Wakuu habarini,
Wakati prof Jay anapiga kampeni kule jimbo la Mikumi Morogoro, asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanapiga kampeni za CCM, hakuna msanii hata mmoja aliyempigia kampen prof. Jay lakini leo hii prof. Jay ameshinda, wasanii haohao eti wanamtaka awapiganie bungeni chondechonde prof.jay usije kuwasemea wasanii wa Tanzania nenda kawasemee wananchi wa mikumi na watz wengine ila sio wasanii.

hilo tamko la wasanii umelisoma wapi ....?
 
Wakuu habarini,
Wakati prof Jay anapiga kampeni kule jimbo la Mikumi Morogoro, asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanapiga kampeni za CCM, hakuna msanii hata mmoja aliyempigia kampen prof. Jay lakini leo hii prof. Jay ameshinda, wasanii haohao eti wanamtaka awapiganie bungeni chondechonde prof.jay usije kuwasemea wasanii wa Tanzania nenda kawasemee wananchi wa mikumi na watz wengine ila sio wasanii.

Wapo baadhi,ROMA,Kala jeremia..lakin wengi walimpotezea
 
Kaza buti prof J,tuko nyuma yako!Acha na hao wasanii njaa njaa tu
 
Bongo movies ndo wanaoongoza kuishabikia CCM. Huwaga NAFURAHI sana ninapoona CD FEKI za bongo movie zikiuzwa kariakoo kwa bei ya jero jero! Ngoja waibiwe weeeeee kaz zao, maana hamna namna nyingine
 
Hahahaaaaaa watz bwana, wakati Mh Haule yuko majukwaani akihangaika peke yake kule kwake Mikumi, wasanii walikuwa busy wakiishangilia na kuipigia promo CCM, leo hii wanataka akawatetee? Afterall amechaguliwa na wanaMIKUMI kwa ajili ya MIKUMI. Hao wasanii waende kujitetea wenyewe LUMUMBA
 
Hivi kahaba uwoya anaingia bungeni? ?? Atawasemea labda hahaha
 
Wasanii wanaye Mbunge nambari 1 John Pombe Joseph Magufuli
 
Mike T na Emson Kabogi wameandika kwenye wall zao huku wakiwa wamepiga picha prof Jay wakisema.

" Prof Jay si Mbunge wa Wasanii ni mbunge wa mikumi hivyo anaenda kuwatetea wananchi wa jimbo lake na si Wasanii tunaomba mmuelewe"
 
Bongo movies ndo wanaoongoza kuishabikia CCM. Huwaga NAFURAHI sana ninapoona CD FEKI za bongo movie zikiuzwa kariakoo kwa bei ya jero jero! Ngoja waibiwe weeeeee kaz zao, maana hamna namna nyingine

hahahaaa
 
Back
Top Bottom