Wasanii: Prof. Jay tusemee bungeni na utupiganie!

Wasanii: Prof. Jay tusemee bungeni na utupiganie!

Wamitulinga ni mbunge wa jimbo la Mikumi, atawatetea wao na taifa kwa ujumla bila ubaguzi wakubwa kwa wadogo
ana majukumu mengi na mazito kwa watu mikumi ambayo alihaidi kwa wapiga kura wake.haya ya wasanii haikuwa kiapumbele chake hata kidogo hakuongelea ,yeye ni msanii sheria zilizopo zinatosha na mazingira ni bora kuliko sehemu nyingi za dunia
 
Wala sinunui ma cd yao nanunua za Kinigeria na waliosuport UKAWA tu hawafai kabisa tena wasimsumbue alipambana mwenyewe.
 
Back
Top Bottom