Wasanii na changia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii na changia CCM

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mkaa Mweupe, May 21, 2010.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi ukichangia unapata T-Shirt?

  msanii3.jpg msanii2.jpg msanii4.jpg msanii1.jpg
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wako kazini wenzio; na hiyo ni unifom ya kazi!
   
 3. w

  wakumbuli Senior Member

  #3
  May 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  lazima tuwe wapole tu maana,fitina yao mmmm ni baraaaa.wameona mbali hao wasaniii maana maisha ya kibongo ni tumikia kafiri upate wa
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  wasipofanya hivyo watazimwa, radio zote zitapigwa mkwara zisipige nyimbo zao.
   
 5. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,721
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  sumaye si alisema mkuu, ukitaka mambo yako yawe mswano.....jiunge na chama chao....hao jamaa wamesoma alama za nyakati...
   
 6. MmasaiHalisi

  MmasaiHalisi Senior Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Flora mbasha nimlokole wa kweli anamwimbia mungu alafu anakodishwa na CCM, hii kwaya biashara
   
 7. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kikwete ameahidi kuwafungulia studio hao, studio kubwa kuliko ndani ya Afrika mashariki na kati
   
Loading...