Nchiboy ndio Kantri boy? 🤣🤣🤣🤣Ila huyo nchiboy sijamuelewa aisee anaimba kama anatapika
SureYa msechu iko poa
Hata flow utadhani anamuimbia demu wake. Nikisikiliza hiyo nyimbo nahisi kichefuchefu. Pia kuna ilr ya bushoke na q chief haifai kuimbiwa msiba.Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi
Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio bange ni nini?