Naomba mifano mitano ya nchi ambazo zimeingia katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu ya wasanii kushabikia upande fulani wa kisiasa.
Kwakweli Brother nimekuelewa sana. Inasikitisha zaid kuona hata waandishi nao wananuliwa, wanaharakati wananuliwa kila engo inanuka Rushwa. Kujipendekeza kwa mabwana wakubwa ndo imekuwa fasheni. Uozo mtupu.Hakuna tasnia iliyo na maadili hapa TZ njaa zinatumaliza.....Si waandishi wa habari, Si wasanii wa muzik na wala si Movies wote hawana nia ya dhati pindi swala la siasa linapokuja....Wanaangalia kama fursa ya kupata chochote kitu.Period.
Ukiona vijisheria vya kipuuzi kama hivi ujue kundi linalopingwa limeshajitambua hivyo wanabidi watunge sheria za kuwabeba. Hawa viongozi wa dini siku za nyuma walipokuwa wakijipendekeza kwa ccm walikuwa wanatumiwa kutoa matamko ya kisiasa mara kibao, lakini toka ccm iwatende kitu kibaya ndio maana wanawazuia. Hata hao wasanii siku wakiacha kuhongwa na ccm utasikia wasanii wasijiingize kwenye siasa watawagawa wananchi. Utashangaa eti wapinzani wakipata uungajwi mkubwa wa watu kunatungwa sheria ya kudhibiti maandamano lakini ccm wakifanya hakuna shida.
Ni hivi safari hii tuko tayari kwa lolote mlizoea vya kunyonga vya kuchinja naona vinawakamata pabaya.
Kwakweli Brother nimekuelewa sana. Inasikitisha zaid kuona hata waandishi nao wananuliwa, wanaharakati wananuliwa kila engo inanuka Rushwa. Kujipendekeza kwa mabwana wakubwa ndo imekuwa fasheni. Uozo mtupu.
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa
Ukawa yawa Ukiwa yaondokewa na Slaa, Lipumba sasa bado Luwasa ambaye atawakimbia siku chache kabla ya uchaguzi kwa kisingizio cha afya yake. Sijui mtalia au mtaomboleza. Subirini muone sinema, msanii ni msanii hata ukimpeleka msibani ataaigiza walau kulia.Ccm Kwisha Habar Yao
Watakujibu wasomaji wengine wa jf hilo swali lako linalotaka kuhalalisha kutumika vibaya kwa wasanii kubeba mgongoni mafisadi kwenda Ikulu. Baada ya uchaguzi kwisha kazi za wasanii hao zitadoda kwa hasira za walioshindwa, na mifano hai tunayo ya wasanii walioanguka kwasababi za kushabikia vyama.
Halafu unasema unahitaji mabadiliko kama hata swali dogo kama nililouliza limekushinda kujibu. Hayo maelezo uliyoyatoa hapo juu yapo nje ya swali langu. Na wala sikusema nahitaji maelezo au ufafanuzi. Swali langu ni hili endapo hukulisoma vinzuri "Naomba mifano mitano ya nchi ambazo zimeingia katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu ya wasanii kushabikia upande fulani wa kisiasa."
Ukawa yawa Ukiwa yaondokewa na Slaa, Lipumba sasa bado Luwasa ambaye atawakimbia siku chache kabla ya uchaguzi kwa kisingizio cha afya yake. Sijui mtalia au mtaomboleza. Subirini muone sinema, msanii ni msanii hata ukimpeleka msibani ataaigiza walau kulia.
Kuna mtu anayepiga kura kwa kuhisi anavyotaka Wema au Shilole??? Seriously??
Wasanii huwa wanatumika kubeba mgongoni mafisadi kwenda Ikulu. Demokrasia yetu bado ni changa, baada ya uchaguzi kwisha kazi za wasanii hao zitadoda kwa hasira za walioshindwa, na mifano hai tunayo ya wasanii walioanguka kwasababu tu za kushabikia vyama fulani wakati wa uchaguzi.
Kabla ya kukubali kandarasi ya kukipigia kampeni chama chochote fikiria kwanza hali ya kazi zako za kisanii zitakuwaje baada ya uchaguzi kumalizika.