Wasanifu wa Majengo na Wataalamu wa Ujenzi: Ushauri

mdau mpya

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
471
636
Wataalamu, Hebu tujadili hili kidogo.
Ukiwa na Ths shillings kama bil 1 na ukataka kuwekeza kwenye real estate. I mean ujenge majengo ya kupangisha (Accomodation houses). Na plan ni kuwa na nyumba zinazoweza acomodate familia 20 na kila nyumba iwe na ukubwa wa vyumba vitatu vya kawaida (standard room).
Sasa budget hio inaweza tosha.
Ikumbukwe kuwa kiwanja tayari unacho kama cha ekari 1.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom