Wasaliti na Mafisadi nani wenye nafuu kwenye Chama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasaliti na Mafisadi nani wenye nafuu kwenye Chama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anold, Jun 29, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Kwa muda sasa kumekuwa na makundi mawili ambayo ni mwiba kwenye chama cha ccm. makundi haya ni lile la wanaotajwa kuwa ni mafisadi na lingine ni la wasaliti wa chama. Kati ya haya makundi mawili lipi linanafuu liendelee kuvumiliwa kwenye chama?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mafisadi ni wasaliti pia, wameamua kusaliti kiapo chao cha kutumikia wananchi na badala yake wanaiba..
  Hivyo basi, Mafisadi = Wasaliti..
  Wasaliti ni Mafisadi ambao wanaamua kusaliti makubaliano waliyojiwekea na wengine ili kulinda maslahi yao (iwe maisha, fedha au mali)..
  Hivyo basi, Wasaliti = Mafisadi..
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jibu tosha.
  Hakuna aliye bora hata kidogo.
   
 4. A

  Anold JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Inapotokea Chama kinavumilia wasaliti na kuwaona sio tatizo si balaa hii kwa chama?
   
Loading...