Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Kwahiyo pamoja na kujiengua, lakini bado ni Meya!
 
Hata Zito nae naskia anajiandaa kuingia ccm.
 
Alikuwa ccm aliponyimwa ulaji akahamiachadema fasta.kapata ulaji ila kagundua ubunge atatoswa.fasta anarudi ccm.sasa nako akitoswa tena namshauri akimbilie ACT wasaliti ndio kunakomfaa..huko atapewa jimbo lolote alitakalo agombee na ndiko kunakomfanania...
 
Back
Top Bottom