Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Kamati kuu ya CHADEMA ilipomtimua ilionekana kama ni uonevu , lakini sasa imedhihirika wazi kabisa kwamba CHADEMA haikosei. limeripoti leo kuhusu jambo hili.

MY TAKE - usaliti ni laana mbaya sana .

============================


Chanzo: Mpekuzihuru

Mkuu cdm hawakurupuki kwenye maamuzi,huyu jamaa ni shida sana hata ukiingia ofisini kwake hapa ilemela,hizo nyodo zake unaona kama cdm alipotea njia,kuna siku hapa buswelu sokoni alizomewa na vijana kwa nyodo zake.
 
Aende zake mpuuzi sana huyo .

Sio mpuuzi tu bali mwizi na jambazi mkubwa. Nani ambaye hamjui? Unajua mkuu Lunyungu mwaka 2010 ulikuwa mwaka wa matengenezo ya chama na bahati mbaya kokoro likabeba sio samaki tuu bali hata chura na kenge. Lakini sasa hakuna kenge atakaye baki salama ndani ya chujio hili la usafi wa chama, wachafu wote watajiondoa kabla ya kuchujwa kwani wanajifahamu.
 
Last edited by a moderator:
Alitoka CCM mwaka 2010 karudi CCM mwaka 2015,usaliti wa nini sasa? Mchezaji wa kuazima kwa mkopo karudi kwenye timu yake ya zamani
 
Huyu jamaa politically ni kwishnei, CCM hawawezi kumsimamisha because of his past history!

BTW, anaendeleaje kuwa meya wakati amehama CDM? CCM kwa double standards hawajambo.
 
Back
Top Bottom