Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Kumbe shida yake kubwa ni cheo.Aanze kampeni mapema ili asikose tena udiwani.
 
Chagadema bana! Kwani lazima kila mtu awe chadema ndio anakua sio msaliti!? Kila mtu ana uhuru wa kwenda chama chochote na muda wowote ndio uhuru wa kidemokrasia acheni mawazi potofu.
 
sasa kama mmemfukuza mlitakaje? hivi huko chadema mmejaa mataahira tu?

Kamati kuu ya CHADEMA ilipomtimua ilionekana kama ni uonevu , lakini sasa imedhihirika wazi kabisa kwamba CHADEMA haikosei. limeripoti leo kuhusu jambo hili.

MY TAKE - usaliti ni laana mbaya sana .

============================

Chanzo: Mpekuzihuru
 
matata ni genge la marehemu mabina wa kisesa na shughuri zao ni zilezile.
 
sasa kama mmemfukuza mlitakaje? hivi huko chadema mmejaa mataahira tu?

tulimfukuza baada ya darubini kumnasa kwa usaliti , kama kawaida ya tanzania ikamlinda , lakini sasa usaliti wake umedhihirika , aibu kubwa iiandame mahakama iliyombeba !
 
Swali msaliti ni nan au kutokea ccm kwenda chadema sio msaliti?

Usaliti sio kuhama chama ila matendo unayotenda ukiwa ndani ya cham
Besides hajaitwa msaliti kisa kukihama chama
Alishaitwa msaliti kabla na mpaka anafukuzwa
Mbona uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo hvyo?
 
matata ni genge la marehemu mabina wa kisesa na shughuri zao ni zilezile.

Wajinga hawataisha, sasa huyu naye anajiita mwanamageuzi! Watu wanaongelea mambo ya msingi wewe unaleta ndoto za kufikirika!
 
Wasaliti wanaturudisha sana nyuma. Lakini hii ni 'Conspiracy' ya CCM ya kutumia mapandikizi kudhoofisha upinzani.
 
tulimfukuza baada ya darubini kumnasa kwa usaliti , kama kawaida ya tanzania ikamlinda , lakini sasa usaliti wake umedhihirika , aibu kubwa iiandame mahakama iliyombeba !
unachekesha wewe. hivi mtu akifukuzwa chadema hatakiwi kufanya siasa? mbona hujiulizi mwasali rahisi kiasi hiki? tumeona mfano mmewafukuza akina zitto. lakini wameenda vyama vingine imekuwa nongwa. na wasiwasi wengi wenu ni wehu kama hata simple logic kama hii inawashinda. tumieni akili kufikiri.
 
Uhuru wa kikatiba, ana haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa sasa ulitaka afe? Au ulitaka afanye nini? Si umemsikia kuwa damu yake na mapenzi yake yapo CCM Sasa unataka kumlazimisha?

Wewe una Chama chako, mke wako, dini yako, ndugu zako, marafiki zako, Kabila lako nami nina chama changu,mke wangu, dini Yangu,ndugu zangu,Kabila langu sasa ugomvi wa Nini? Ndio demokrasia hiyo ndugu yangu
 
Hawa vijana wa Bavicha wanataka kila mmoja awe chadema, awe Mkristo awe mzinzi jambo ambalo haliwezekani kabisa. Asante mkuu Abunuas kwa ufafanuzi
unachekesha wewe. hivi mtu akifukuzwa chadema hatakiwi kufanya siasa? mbona hujiulizi mwasali rahisi kiasi hiki? tumeona mfano mmewafukuza akina zitto. lakini wameenda vyama vingine imekuwa nongwa. na wasiwasi wengi wenu ni wehu kama hata simple logic kama hii inawashinda. tumieni akili kufikiri.
 
Wasaliti wanaturudisha sana nyuma. Lakini hii ni 'Conspiracy' ya CCM ya kutumia mapandikizi kudhoofisha upinzani.

Tatizo la CCM hapo ni lipi? Kaamua kurudi kwa baba sasa tumfukuze kama nyie? Mlitaka tufanye nini Juu Ya Mzee wetu huyu?

Nyie kazi yenu tayari mlishamaliza Si mlimfukuza? Sasa mnataka nini tena juu Ya Matata? If one door is closed another door is open.........katimia fursa na haki yake kikatiba
 
Wajinga hawataisha, sasa huyu naye anajiita mwanamageuzi! Watu wanaongelea mambo ya msingi wewe unaleta ndoto za kufikirika!

Bavicha bavicha hii nchi ina makabila Zaidi Ya 123 sasa mnataka Wote tuwe Wachaga Kweli? Tuwe Chadema kweli? Nyie mlitumia Katiba yenu kumfukuza baada Ya Hapo kazi yenu imeisha yeye katumia Uhuru wa KATIBA mama kujiunga na chama anachokipenda sasa ugomvi wa nini?

Bavicha mnaleta Sana nyie hatuwezi wote tuwe CHADEMA haliwezekani kamwe
 
Usaliti sio kuhama chama ila matendo unayotenda ukiwa ndani ya cham
Besides hajaitwa msaliti kisa kukihama chama
Alishaitwa msaliti kabla na mpaka anafukuzwa
Mbona uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo hvyo?

Sawa kama msaliti, ameamua kujiunga na chama kingine tena karudi nyumbani tatizo lipo wapi? Nyie mlishamfukuza?

Sasa mke umemuacha bado unammendea mendea kila anakoenda Upo sasa wivu wa nini? Ukiachana na mke basi ujuwe kuna wenzako wataona dhahabu usiumie....,,
 
tulimfukuza baada ya darubini kumnasa kwa usaliti , kama kawaida ya tanzania ikamlinda , lakini sasa usaliti wake umedhihirika , aibu kubwa iiandame mahakama iliyombeba !

Sasa karudi CCM full stop! Umeumia? Kujinyonge!
 
Back
Top Bottom