Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Wasaliti hawafichiki, Henry Matata arejea CCM

Msaliti ni mtu anayeenenda kinyume na taratibu, matakwa, dhima, dhamira, malengo na kanuni za taasisi au jumuia anayoitumikia
mkuu samahani kwa swali hili , hivi unakunywa kinywaji gani ?
 
Sio mpuuzi tu bali mwizi na jambazi mkubwa. Nani ambaye hamjui? Unajua mkuu Lunyungu mwaka 2010 ulikuwa mwaka wa matengenezo ya chama na bahati mbaya kokoro likabeba sio samaki tuu bali hata chura na kenge. Lakini sasa hakuna kenge atakaye mkuu umeandika kikakamavu sana ! safi sana !baki salama ndani ya chujio hili la usafi wa mkuuchama, wachafu wote watajiondoa kabla ya kuchujwa kwani wanajifahamu.

mkuu umeandika kikakamavu sana ! safi sana !
 
Last edited by a moderator:
lakini sikupoteza chochote kwa sababu stahili zangu zote nilipata,” alisema.

Hahaahaaa kumbe hicho ndicho alichokuwa anakitaka tu, ulafi huu jamani!!!!
 
lakini sikupoteza chochote kwa sababu stahili zangu zote nilipata,” alisema.

Hahaahaaa kumbe hicho ndicho alichokuwa anakitaka tu, ulafi huu jamani!!!!

mkuu hebu liweke vizuri hili andiko naona kama kuna kitu ndani yake .
 
uwezo wa cdm kuvinasa virusi ndani ya chama ni wa kutukuka .
 
Jibu swali: Ulitaka ahamie chama gani, au ulitaka asifanye tena siasa?

lengo langu ndani ya uzi huu ni kuufahamisha umma kwamba zile tuhuma za usaliti wa matata zilikuwa kweli , kama kuingia ccm tangu alipochaguliwa na madiwa watatu wa ccm kuwa meya alikuwa mwanaccm tayari .
 
Poleni bavicha...
 
uwezo wa cdm kuvinasa virusi ndani ya chama ni wa kutukuka .

Na wa kutisha pia. Darubini wanayotumia inaona mpaka moyoni kwa mtu, ndio maana hata wale wenye kuwaza mabaya kwa chama huwa wanawasiwasi kuwa hata fikra zao zina onwa na darubini la chama.
 
matata yake kwisha kazi , njaa haina baunsa bhana .

Bwana Henry Matata hakuna jipya analowaambia ndgzangu wana Mwanza kuwa sababu kubwa zilizomfanya ahamie chadema ilikuwa ;kusaka maisha ,na kujipatia fedha za maisha.inatufundisha kuwa ccm ni chama kilichosheheni kundi la majangili na chadema inaposema huyu hafai wananchi tujue haifanyi kw kumuonea mtu bali ni kuonesha jinsi ccm ilivyowalea wanachama wake.si hicho tu inaonesha jinsi ccm ilivyimlinda kwa maslahi yake.Ni imani yangu kuwa msululu wa wagombea Urais wa ccm,ni ishara tosha kuwa wanajua miradi waliyowekeza ndio maana polisi dola inawalinda
 
kuna tetesi kwamba watia nia wa ccm kwenye urais kufika 60 , rekodi ya dunia !

mkuu!!! Mwaka huu ni wa tofauti mno..wakifika 60! ndo itaibua mapya!! maana nadhani kwenye serikali ya JK wengi wamekuwa mawaziri..ko ndio maana kila mmoja anaona anafaaa.
 
Back
Top Bottom