Wasaidieni walimu wa Private schools


Umeleta logical fallacy inayoitwa Texas shapshooter fallacy.

Texas Sharpshooter Fallacy

Kuchagua data zinazothibitisha dai lako na kupuuza zile zinazolikanusha.

Yaani umechagua st francis na marian ambazo nii secondary schools kwenye uzi unaongelea engish medium primary schools za watu binafsi
 
Yeah!..hawa walimu nao wakumbukwe na maslahi yao yaboreshwe
 
St Mary Mazinde Juu iko Magambq , Hamna njaa pale
 
Kwani wanajeshi wanakula ngapi?
 
😂😂😂😂
 
Ama ndo ajira serikalini zinatolewa kwa mchongo...!!???

Hao wa private wote wangehamia shule za kanumba.
Bora laki 6 kuliko laki 4.
Hata wangelipwa laki tatu lakini serikalini kuna security.

Tatizo serikali haina uwezo wa kuajili au haina vipaumbele.

Kuna kundi la wahuni wachache tu ndio wakakula keki ya Taifa ukianza na Wabunge.

Hivi mtu hata diploma hana analipwa mshahara wa zaidi ya million 14 kwa mwezi na marupurupu kibao.
 
Kuna shule nilimpeleka mtoto kufanya mtihani wa kujiunga majibu yalipotoka eti amefeli yule mkuu wa shule anataka rushwa eti anisaidie nikamwambia apeleke matako yake mbele, nilitafuta shule nyingine, yani wanawafelisha makusudi ili wachukuwe rushwa na hapo wamekulia pesa ya form.
 
Labda ina tofautiana na shule, kunae mtu namfahamu anafundisha shule ya private, yeye anapokea 700k.
 
Shule binafsi wanatumia uhaba wa ajira kuwaumiza walimu kimaslai. Kazi nyingi ujira kidogo. Poleni
 
Na hawana cha kazi Jumamosi wala baada ya muda wa kazi. Hawana mausumbufu sijui ya kuandaa mitest ya kila wiki wala nini; wao 8 hrs sharp or less majukumu yao yameisha wanarudi makwao. Hawana stress kabisa.
Wanatoa test 500 watoto 200 week8ana kibunda =100000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…