Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea nchini, ambapo kwa kweli CHADEMA wanaonekana kuwa at the centre...
Uamuzi wao wa kunyanyuka vitini na kuondoka ndani ya ukumbi wa bunge wakati 'muungwana' akianza kuhutubia umepeleka 'shock' kwa watawala wenye mawazo mgando, lakini kwa baadhi tunauona kuwa ni dalili ya kujua nini cha kufanya katika wakati gani kwa ajili ya nini...maturity ya juu katika demokrasia yetu ambayo kwa kweli bado iko kitandani (lakini sijui kama i macho au imelala fofofo kama si pono au kiasi)
Lakini kwa makusudi au kwa kutokujua...hoja yao imepotoshwa, tena hata wao wasipoangalia hoja yao itapotoshwa kweli kweli na uongo ukisemwa mara kwa mara huonekana ukweli, la sivyo itawagharimu nguvu kubwa mno kuja kusawazisha hali ya mambo.
Wao wanasema kwa mujibu wa katiba (mbovu by the way) na sheria tulizo nazo mpaka sasa nchini, hawana budi kumkubali Rais Kikwete kuwa ni rais wa nchi,
HOJA YAO...PAMOJA NA KUMTAMBUA KIKWETE kwa mujibu wa katiba kama rais, HAWAKUBALIANI NA MCHAKATO ULIOMWEKA MADARAKANI...KURA ZILIZOMPATIA USHINDI ZILICHAKACHULIWA, ndiyo maana wanahitaji tume huru ya uchunguzi kuangalia what exactly transpired during the last general election.
Lakini ili kuokoa zahama siku za usoni pia wanawakilisha watu wengi kwa kudai NEC mpya kabla ya uchaguzi mkuu ujao na Katiba mpya, na hili la NEC ni muhimu sana maana kila mwenye akili zake timamu anaiona hatari ya uchaguzi wowote nchini kuendelea kusimamiwa na NEC iliyopo sasa...na wanasema haidhuru iwapo basi walau mchakato wa katiba mpya uwe umeanza kama si kukamilika kabisa, ifikapo 2015.
Supporting argument yao, ni kuwa wapo marais au watawala kibao ambao walitumia njia haramu kuingia madarakani lakini waliposhika dola wananchi wao hawakuwa na budi kuwatmbua maana tayari ndiyo wanaoshikilia dola...CHADEMA wameamua kuwasilisha ujumbe wao wa UBOVU WA MFUMO WA UCHAGUZI na kudai madai mazito na muhimu kwa njia very democratic ambapo katika nchi nyingine ni mpaka amani inavunjika (siku zote pale ambapo haki inaminywa, ni kudanganyana tu kusema kuwa amani itakuwepo)
Lakini ukifuatilia coverage ya media zetu tangu pale 'Rais' Slaa alipozungumza na waandishi wa habari pale Dom akiwa flanked na Mwenyekiti wake Mbowe, hoja kuu imepotoshwa na ikazidi kupotoshwa walipoamua ku-walk out wakati JK anaanza kuhutubia...hoja yao imekuwa diminished if not weaken to the extent that eti HAWAMTAMBU RAIS na kuwa WAMESUSIA BUNGE, WAMEVUNJA SHERIA NA KANUNI (hazisemwi), WAMEASI, WATAVURUGA AMANI AND ALL THAT KIND OF BULLSHITS POINTS...
Zipo media na waandishi (ofcourse na baadhi ya viongozi wao wenyewe CHADEMA pia) ambao wameamua makusudi (wengine wanafanya kwa kutokuelewa hoja) kuupotosha umma kwa kuipotosha hoja hiyo, ili waonekane kuwa hawajui walichokifanya, tena wanafanya mambo ambayo Watanzania wapiga kura wao hawakuwatuma, wakorofi, wasumbufu n.k.
NANI MWENYE AKILI TIMAMU, BILA KUJALI 'maboksi' ya vyama, ukabila, udini, urangi, unufaikaji wa ufisadi na maboksi mengine mengi ANAWEZA KUPINDA MADAI YA CHADEMA...It is a coarse for change, help them as patriotic Tanzania, wakitokea wengine wenye mawazo kama yao, pia tuwaunge mkono, Tanzania kwanza, here we go. SAMAHANI kwa kuwasilisha kwa kirefu namna hiyo, though i wish to go on and elaborate more...