Wasafiri watokao Tanzania kuingia Zimbabwe watalazimika kupima #COVID19

Watu aina ya mleta mada ndio hufanya chadema inaonekane ya majuha!

Lisu akikuwa hapa kwa miezi 3 bila barakoa na karudi huko kwa bebru zake sijasikia kapima na kukutwa na corona!

Wachezaji wa tz walipoenda tunisia juzi wote wamepimwa na wako negative.

Lakini kwa akili kubwa za mleta mada anahisi Zimbabwe wametuma intelijensia yao na kuona huku kuna corona ndio maana ikaandikwa hiyo barua. Na kwa hiyo sisi hapa tz tunajidanganya,.

Si ajabu mleta mada hapo alipo analaumu kwamba kwa nini hatuwekwi lockdown.

Ujinga.
 
Tanzania akuna Corona,Zimbabwe kama nchi aipangiwi,
walichoamua ni matakwa ya nchi yao.
 
Kwani huyu jamaa ni CHADEMA? Kuna sehemu kwenye uzi wake amesema yeye ni Chadema? Kwenye hiyo barua kuna sehemu imesainiwa na mwenyekiti wa Chadema /katibu wa chadema hata wa kitongoji?
Ficha aibu yako maana mnaitaja Chadema utadhani ndo iliyoko madarakani wakati hata mbunge haina.
 
Wewe ni mgeni humu jukwani?
 

Nafikiri serikali ya ubelgiji ndo yenye maslahi na matokeo ya vipimo vya TAML. Kwa sasa bado yuko kwenye quarantine ya siku 14.
 
Kw Kwa hiyo nyie mnataka nini kwa hilo?
Au.mmefulahia nini?
 
The rate of mutation ya huyo virus ikoje, has it maintain conserved regions in its DNA ili 'primers' kwa ajili ya PCR ziweze kufanya kazi kila mahali, has it maintained similar immunogenicity/pathogenicity in different races and regions of the world. Hicho kirusi bado kinahitaji utafiti wa kutosha hasa huku Africa ambako hakionyeshi kama ni tishio kubwa, nashangaa kwa nini wanaziulizia zile trillioni 27.
 
Kwa nini waraka umelenga Tanzania tuu? Kwani awali ilikuwaje na sababu za sasa ni nini wakati tumeshaponywa kwa maombi?
 
hoja ipi??

wewe ni FIPA kereketwa.
OK, lakini siko ndani ya serikali ya Zimbabwe hivyo swali LA msingi linabaki palepale!
Au ndio ule mtindo wa mzee wa jalalani unaulizwa hili unatoa macho unajibu lile?
 
Barua yao inasema wamechukua uamuzi wa kumpima kila anayetokea Tanzania kwa sababu wasafiri wamekuwa wakiingia na ‘inconsistent covid19 certificates’

Hii ina maana pana. Inawezekana labda kumekuwa na vyeti tofauti kutoka vyanzo tofauti vya vipimo (Maabara ya Taifa, Amana, IST etc) na hii inatia mashaka. Basically ukipimwa COVID19 pale NIMR kama unasafiri na ukakutwa ni positive, cheti hupewi
 
OK, lakini siko ndani ya serikali ya Zimbabwe hivyo swali LA msingi linabaki palepale!
Au ndio ule mtindo wa mzee wa jalalani unaulizwa hili unatoa macho unajibu lile?

mtangazaji-kwanini una mwanasheria mzungu??

lissu-mimi sio wa kwanza.
 
mtangazaji-kwanini una mwanasheria mzungu??

lissu-mimi sio wa kwanza.
Jee jibu sio sahihi? Hii ni tofauti na;
Kamati ya Bunge; Kwanini €27m zimepelekwa Tanzania na hakuna corona? Wametumiaje?
Kabudi; Hatutaki misaada ya kudhalilishana, sisi tuko huru hata Nyerere anajua.
 
Jee jibu sio sahihi? Hii ni tofauti na;
Kamati ya Bunge; Kwanini €27m zimepelekwa Tanzania na hakuna corona? Wametumiaje?
Kabudi; Hatutaki misaada ya kudhalilishana, sisi tuko huru hata Nyerere anajua.

hayo ni majibu sawa kabisa,labda kwa sababu mmoja ni hasimu wako.

wacha nikwambie usawa wake uko wapi.

kabudi ameiona dhamira ya wabunge wale ni kutaka kuipangia matumizi misaada waliyoomba.

lissu ameiona dhamira ya mwandishi ni kuwawakirisha wanaotaka kumpangia maamuzi lissu.
 
Uongozi wa kishamba unatupeleka pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…