Wasafi TV wana shida gani?

Sikumbuki mara ya mwisho kutune ilikuwa lini. Sijawahi tune na kuangalia zaidi ya dk 10
 
duh!! hi ni hatari
 
live mkuu,tena ukkuta wana tangaza yale ma kamali yao na washindi wa mchongo yani wana boa kinoma
 
Ni cha septemba 9 sio kilichoruka leo,
Kuna baadhi yaliyoongelewa si ya kweli
Uzuri profesa alisema inasemekana
Wamekuwa waungwana sana kuomba Radhi huu ndio weledi wa kazi.
 
Japo wametoa lakini nahitaji watulipe fidia kwani mimi ni miongoni mwa jamii hiyo kwa kweli wametuzalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…