Watafungiwa sababu ipi ? Mpaka hapo sioni sababu ya TCRA kuwafungia.Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCR.
Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na ndiyo maana maonyo yamekuwa mengi sana.
Nina imani kama kusingekuwa na watu wazito kwenye hii TV basi ingeshafungiwaga muda tu.
Hawa watangazaji wana weledi kweli wakufanya hii kazi??View attachment 2080992
Wamefanya nini kwanza?
Now nimeona kwenye jukwaa la hoja na habari.haujui ama
Wamefanya nini kwanza?
Kwahyo zuchu anatomb.wa na nani? Ambaye anamwandikia😂
Duuu Tafsidaless..... kweli haki yao kuchezea nyundo. Hizi radio kama hawawezi kuajiri watangazaji wenye uweledi, waajiri basi hata wahariri wa hivyo vipindi.“Anakutomba huyo”-Zuchu
Zuchu Said that on aired program
Kazuchu katamu sana“Anakutomba huyo”-Zuchu
Zuchu Said that on aired program
Khee toba hivi ni kweli ?“Anakutomba huyo”-Zuchu
Zuchu Said that on aired program
Sasa kipindi kama kiko live, ulitegemea wangefanya nini? Kulizuia?!!Zuchu aliongea live halafu wajamaa wakaliachia hivyo hivyo kama lilivyo