lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,593
- 5,202
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCRA.
Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na ndiyo maana maonyo yamekuwa mengi sana.
Nina imani kama kusingekuwa na watu wazito kwenye hii TV basi ingeshafungiwaga muda tu.
Hawa watangazaji wana weledi kweli wakufanya hii kazi?