Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Sidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogoJamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.
Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.
Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.
Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.
Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapikea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12.
Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.
Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.
Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Kuna msomali mmj tajiriHapo hakuna sababu ya maana hapo
Alei nacho ata zidishiwa huo ni mfumo wa maisha yetu
Sasa ndio umekuja kunitangaza hukuKuna msomali mmj tajiri
Huu mwezi wote yy anafuturisha
Tu back 2 back
Ova
Binafsi pia nimeshangaa huyu Almasi kwenda kujikosha kwa MPs, afazali ange futurisha makundi maalum pale dodomaJamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.
Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.
Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.
Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.
Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapikea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12.
Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.
Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.
Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Anazungumzi maana na dhana ya kufuturisha vinginevyo angeweza kuwaandalia dinner ya course kumi pale Kempnsiky na kufikia lengo lake, lakini sio kuupotosha UislamuSidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogo
Hii ni zaidi ya show off.Utasikia Diamond kawa mbunge wa kuteuliwa au mkuu wa wilaya.Hizi futari za showing off
Leo naibukia futar tukiwa na ndizi mbivu kabisa HahahaSasa ndio umekuja kunitangaza huku
"Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza."Sidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogo
Utabaki masikini hivyo hivyo huku wenye akili wanapotumia fursa unawaita chawa