Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake,unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid.Yan bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid.Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge.Kwa ujumla hawaendani.Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.

Lakini si walikuwa wote huko IPP media. Ina maana hawajajuana tu ?Anainusuru nafsi yake kwani mjinga kiasi gani aigeige tu,ye na Mau wamekutana kazini uwezi jua mwenzie anajiamini nini.
Nadhan itakua ni kwasababu ya maujinga ya watangazaji wengi.Kama wako kijiweni yan full kucheka cheka na mautan unproffessional kabisa.Wengi pia wako limited sana when it comes to knowledge angalau kidogo watangazaji wa vipindi vya michezo.sijui kwanini sipendi kusikiliza redio
wanajuana mavazi, chakula anachopenda, ufanisi na mambo machache ya kifamilia lakini NAFSI ya mtu kichaka mpendwa.Lakini si walikuwa wote huko IPP media. Ina maana hawajajuana tu ?
Hapo kwenye nafsi ni papana sana maana hata mke na mume hawajuani nafsi zaowanajuana mavazi, chakula anachopenda, ufanisi na mambo machache ya kifamilia lakini NAFSI ya mtu kichaka mpendwa.
mimi ndio huwa sielewagi kinachoendeleaga kwenye ulimwengu wa Radiosijui kwanini sipendi kusikiliza redio
Nadhan itakua ni kwasababu ya maujinga ya watangazaji wengi.Kama wako kijiweni yan full kucheka cheka na mautan unproffessional kabisa.Wengi pia wako limited sana when it comes to knowledge angalau kidogo watangazaji wa vipindi vya michezo.
Basi hapo ndipo wanatukosa tuliozoea kufanya mambo seriouslyNdiyo lengo la hizo redio yani kutofanya utangazaji uwe serious walianzisha clouds na wengine wakaiga.
Mbwembwe za kimama sana eti ana wasikilizaji wanamkubali.usenge mtupuZile mbwembwe za kitenge unazifurahia tu?
nenda wewe kaombe kaziKatika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.
Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid. Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid. Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge. Kwa ujumla hawaendani. Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.