King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,851
- 95,072
Ehee kumbe walikuwa na Tamasha Iringa hao wachafu? Mbona la Iringa sijalisikia kabisa au kulikuwa hakuna ushindani na MOJA KUBWA? Kweli nimeamini WACHAFU wanapenda Kiki Sana........#Utajibiwa_kama_utakavyokuja.