Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Mkuu tayari nimeshamsaidia ni Wakoritho Wa kwanza 14 yote! Lkn Hana cha kujitetea Ktk Hilo!

Asante Mkuu Ntuzu, unajuwa hawa watu huwa napenda akitoe yeye hicho kitu halafu unampa ufafanuzi palepale, wengi wao hawasomi maandiko hivyo huwa wanasubiri kusomewa na viongozi wao halafu wao wanaitikia Aminaaaaaaa!
 
ukihudhuria mikutano ya wasabato kama una hasira unaweza kupigana na anaehubir maana mahubiri hayawez kuisha bila kutukana madhehebu yanayosali tofauti na jmoc hapo ndipo wananikera ila ninachowapendea wanafundisha afya.
 
Samahani ameline, japo umekuwa specific kwa ntuzu but naomba niingilie kati kama hautojali kwa kuuliza swali kwako. Kwani pete inamaana gani wewe unavoelewa?

asante ndugu ningefurahi zaid kama ungenisaidia jibu kwanza la swali langu
 
haya unayo yaongea ungeyapatia na ushahidi wa kibiblia ningekuelwa japo kidogo!
 
Asante kwa majibu yako vip siwez pata andiko labda la kukazia maelezo yako ndugu?
 
Wasabato wanawachukia wote ambao sio wasabato, na wanaamini kuwa wakristo wengine hawataweza kwenda mbinguni isipokuwa wasabato.

Mkuu hatuchukii mtu au Imani ya mtu Bali twaeneza ile kweli itupasayo kufanya km wanafunzi Wa Yesu!

Km kuchikiwa ni sisi ndio tunaochukiwa!

Ebu angalia hapa Ktk hii REVELATION 12:17

And the dragon was ENRAGED with the WOMAN, and he went to make war with the rest of her offspring, who keep the commandments of God and have the Testmony of Jesus Christ.

Hapo mwanamke Maana yake ni Kanisa na bila Shaka sheria tunazosimamia zimetajwa hapo!

Kwahiyo km kutuchukia au kutukasirikia ni nyinyi wala sio sisi!
 
Skelew, skelewu, skelewu, skelewu....
 
Siku ya pentekoste wafuasi wa yesu walijazwa roho mtakatifu wasioamini wakasema hivyohivyo kuwa bisha shaka wamelewa .wasabato hawaini ktk kunena kwalugha
 
mbona hawatoi sadaka za kuteketezwa?

Nafikiri hili swali lako ndio Jibu zuri kwa huyo aliesema Kua tunafata agano la kale!

Kwa kifupi ni kwamba wasabato wafuata biblia yote kwa ujumla!
 
kuna mchungaji wao radio morning star aliwahi sema kwamba shetani alipotupwa alienda kwnye mifumo yote ya galaxies kuhubiri propaganda zake za chuki kuhusu mungu,mifumo yote walimkataa ila mfumo wetu huo wakamkubalia propaganda zake,kw mantiki hyo kuna binadamu wengne ktk sayari nyngne.nikamtumia sms kwamb anithibishie kwnye bible kwmb kuna binadamu wengne kwenye sayari nyngne hakujibu sms angu.hi imeniacha njiapanda hadi leo,,nahitaji majibu kwenu sda wadau au km hyo mchungaj yupo hapa ajibu
 
Asante Mkuu Ntuzu, unajuwa hawa watu huwa napenda akitoe yeye hicho kitu halafu unampa ufafanuzi palepale, wengi wao hawasomi maandiko hivyo huwa wanasubiri kusomewa na viongozi wao halafu wao wanaitikia Aminaaaaaaa!

Thx Blueband nilipenda tu kumsaidia na bila Shaka sizani km atakua na hoja tena baada ya kumpa ukweli!
 
Last edited by a moderator:
ukihudhuria mikutano ya wasabato kama una hasira unaweza kupigana na anaehubir maana mahubiri hayawez kuisha bila kutukana madhehebu yanayosali tofauti na jmoc hapo ndipo wananikera ila ninachowapendea wanafundisha afya.

Wasikukere na wasikukasirishe ila wanakupenda na kukuthamini ili kwamba ujue kweli iliyopo kwenye biblia na kwani mtu akifundisha ni vibaya kutolea mifano ya kile anachokifundisha,??
Balikiwa ila naomba sabato ijayo tukutane kanisani kusali ktk sabato ya bwana..!!!
 
Siku ya pentekoste wafuasi wa yesu walijazwa roho mtakatifu wasioamini wakasema hivyohivyo kuwa bisha shaka wamelewa .wasabato hawaini ktk kunena kwalugha

Huko tumeshaweka sawa! Km ndio unaamka sasaivi pitia huu Uzi hapo nyuma utaona majibu ya hoja yako hii!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…