qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Hayo mageuza aliyafanya kabla ya kukamatwa na kuuwawa ambapo aliezea tukio zima na atakae msaliti,ni wapi imeandikwa pasaka ni kusherekea ujio wake na mateso yake?,pili ikiwa wayahudi walisherekea pasaka kwa kuchinja mwanakondoo kwa ishara ya damu Je sadaka ya Yesu ni ipi?,tatu swali langu hukumalizia kujibu yaani ufufuko wa Yesu Je mnaamini ilo?
Sisi tunaadhimisha hivi pasaka(kama Yesu alivyoagiza) Matthew 26:26-28 And as they were eating, Jesus took bread, and blessed it, and broke it, and gave it to the disciples, and said, Take, eat; this is my body. And he took the cup, and gave thanks, and gave it to them, saying, Drink ye all of it; For this is my blood of the new testament, which is shed for many for the remission of sin. Na pasaka iliadhimishwa kuelezea ujio wa Yesu duniani na mauti yake. Na hivyo sisi tunakumbuka mauti yake kwa kunywa divai(kama damu ya Yesu) na mkate(kama mwili wa Yesu). Ile nyingine ya kipagani wanayoiita easter sisi hatuna sehemu nayo maana kiukweli ni sikukuu ya kumbukumbu ya mungu ishtar. Kumbuka pia, sikukuu nyingi za kidini leo, ni matokeo ya upagani uliovikwa vazi la ukristo ili kuficha maovu yao.
Wapendwa,
nimeshangaa sana kusikiliza radio yenu inayoitwa Morning star na kukumbana na kashfa za ajabu juu ya makanisa mengine nashangaa mhuburi anasema eti makanisa mengine wakiomba wanakuwa kama wameingiwa wazimu,haitoshi akaendelea makanisa mengine yanayoitwa ya walokole wakihubiri wanaongea kama wamelewa au wameingiwa wazimu.
Nyie wasabato nyie hamjui biblia wala utendaji kazi wa Roho mtakatifu.
Ngojeni niwaambie nyie wasabato mnaojifariji mnamjua Mungu kuliko makanisa mengine.
Mimi nimeokoka na nimejazwa Roho mtakatifu,nikianza kuomba najikuta nimezama kwenye upako wa Roho mtakatifu,manake ni kwamba Roho mtakatifu sasa anaishi ndani yangu na ananiongoza kwa mambo yote ninayofanya hapa duniani.
Hao mnaofikiri wameingiwa wazimu ni kwamba wamejazwa Roho mtakatifu,kumbuka Yesu alipopaa mbinguni aliwaahidi wanafunzi wake wabaki Jerusalemu mpaka wajazwe Roho mtakatifu.
Mnakumbuka walivyojazwa Roho mtakatifu watu waliwadhihaki wakisema wamelewa kumbe ulikuwa UPAKO WA ROHO MTAKATIFU.
Nawashangaa sana enyi wasabato badala ya kupambana na shetani mnahangaika na makanisa Yenye imani kama yenu,huu ni uwezo mdogo wa kuelewa maandiko matakatifu.
Enyi wasabato vita yetu siyo ya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa ROHO.
Kaeni kama mlivyo na tutawaombea ili Mungu awatoe hayo yaliyo kwenye moyo wenu.
Mkuu ilo Swali nimemuuliza Msabato anipe jibu au wewe ni msabato na ndio jibu lenyewe..Sadaka ya Yesu ni kufa msalabani na ndio Pasaka mpya... Kusulubiwa na kufa kwake ili akomboe ni agano jipya baada ya ile ya kuchinja kwa sababu ile ilikuwa pia ni ishara ya ukombozi kutoka Misri na mwanakondoo mpya ni Yesu.
Mkuu ilo Swali nimemuuliza Msabato anipe jibu au wewe ni msabato na ndio jibu lenyewe..
Teh teh teh tuwasubiri wenye dini yao... Ila me najiulizaga tu hivi wale Mitume walikuwa dini gani na Yesu mwenyewe je? Na wazazi/Walezi wake walikuwa dini gani.. Na hivi Mitume,manabii na Yesu mwenyewe walukuja kuleta dini?
Yesu ni zaidi ya dini,binadamu ni zaidi ya dini,neno la Mungu ndio uzima bhana ukishika ilo ndio uzima wenyewe,haya mambo mengine yamejaa utashi wa wanadamu,kama hawapendani duniani watapendana Mbinguni?Teh teh teh tuwasubiri wenye dini yao... Ila me najiulizaga tu hivi wale Mitume walikuwa dini gani na Yesu mwenyewe je? Na wazazi/Walezi wake walikuwa dini gani.. Na hivi Mitume,manabii na Yesu mwenyewe walukuja kuleta dini?
Kwani huo mkate na divai mnakunywa kanisani au? Na Ntuzu kasema mnasherekea mara nne kwa mwaka kwa kuwa hakuna siku maalumu je pasaka ya Easter ina siku maalum? Mbona kika mwaka inabadilika tarehe au mwezi..
Pili wayahudi wa sasa wanasherekeaje pasaka yao?
Je hao Wayahudi wa zamani walikuwa wanasherekea mara nne kwa mwaka kama nyie?
Kwanini nyie msherekee mara nne, je Biblia inaruhusu hivyo?
Je hiyo mara nne kwa mwaka si tayari kwenu mmesha jiwekea muda maalum wakati Bible haijaonyesha muda maalum so hamna tofauti nao.
Wapendwa,
nimeshangaa sana kusikiliza radio yenu inayoitwa Morning star na kukumbana na kashfa za ajabu juu ya makanisa mengine nashangaa mhuburi anasema eti makanisa mengine wakiomba wanakuwa kama wameingiwa wazimu,haitoshi akaendelea makanisa mengine yanayoitwa ya walokole wakihubiri wanaongea kama wamelewa au wameingiwa wazimu.
Nyie wasabato nyie hamjui biblia wala utendaji kazi wa Roho mtakatifu.
Ngojeni niwaambie nyie wasabato mnaojifariji mnamjua Mungu kuliko makanisa mengine.
Mimi nimeokoka na nimejazwa Roho mtakatifu,nikianza kuomba najikuta nimezama kwenye upako wa Roho mtakatifu,manake ni kwamba Roho mtakatifu sasa anaishi ndani yangu na ananiongoza kwa mambo yote ninayofanya hapa duniani.
Hao mnaofikiri wameingiwa wazimu ni kwamba wamejazwa Roho mtakatifu,kumbuka Yesu alipopaa mbinguni aliwaahidi wanafunzi wake wabaki Jerusalemu mpaka wajazwe Roho mtakatifu.
Mnakumbuka walivyojazwa Roho mtakatifu watu waliwadhihaki wakisema wamelewa kumbe ulikuwa UPAKO WA ROHO MTAKATIFU.
Nawashangaa sana enyi wasabato badala ya kupambana na shetani mnahangaika na makanisa Yenye imani kama yenu,huu ni uwezo mdogo wa kuelewa maandiko matakatifu.
Enyi wasabato vita yetu siyo ya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa ROHO.
Kaeni kama mlivyo na tutawaombea ili Mungu awatoe hayo yaliyo kwenye moyo wenu.
Teh teh teh tuwasubiri wenye dini yao... Ila me najiulizaga tu hivi wale Mitume walikuwa dini gani na Yesu mwenyewe je? Na wazazi/Walezi wake walikuwa dini gani.. Na hivi Mitume,manabii na Yesu mwenyewe walukuja kuleta dini?
Yesu ni zaidi ya dini,binadamu ni zaidi ya dini,neno la Mungu ndio uzima bhana ukishika ilo ndio uzima wenyewe,haya mambo mengine yamejaa utashi wa wanadamu,kama hawapendani duniani watapendana Mbinguni?
Love is my religion..
Yesu alikuja kuokoa kilicho potea au alikuja na wokovu ZEKARIA 9:9
Yesu ni zaidi ya dini,binadamu ni zaidi ya dini,neno la Mungu ndio uzima bhana ukishika ilo ndio uzima wenyewe,haya mambo mengine yamejaa utashi wa wanadamu,kama hawapendani duniani watapendana Mbinguni?
Love is my religion..
Kwani maana ya kuokoa nn na kunatofauti gani ya kurudisha kilichopotea na kuokoa au unawaza kuokoa ajali tu.
tofautisha makanisa, yapo makanisa yaliyozaliwa kutokana na tafsiri za kibiblia ila lipo lililozaliwa kabla ya biblia na kuzaa biblia!
Wathesalonike wa 1 ule mlango wa 1:4-5.
Kuna kupokea injili ya Maneno matupu na injili yenye nguvu katika Roho mtakatifu.
Neno la Mungu linapohubiriwa katika Roho mtakatifu na nguvu, lazima ile nguvu isababishe maajabu.
Shida ipo kwa hawa wanaohubiri au wanaoifikisha injili kwa Maneno matupu