Wasabato mna siri gani? Hii ni extraordinary

Wasabato mna siri gani? Hii ni extraordinary

Mkuu umekuja kuwapigia promo, mbona vipaji vya kuimba vipo makanisa yote.
 
Mkuu umekuja kuwapigia promo, mbona vipaji vya kuimba vipo makanisa yote.
Sijakataa uwepo wa vipaji makanisani na misikitini, ninacho sema ni kwamba wasabato ni extraoldinary, mimi ni mwalimu wa kwaya ila nakiri kuwa hawa watu wametuzidi mbali sana kwenye uimbaji ingawa kwenye uchezaji wa vyombo vya muziki kwa kutumia noti tumewazidi mbali.
 
Umesikiliza mpaka UKAFUMBA MACHO KWA UTAMU"? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umekuja kuwapigia promo, mbona vipaji vya kuimba vipo makanisa yote.
Mimi sio msabato, ila kwenye suala la kuimba, wasabato hawana mpinzani. O'level ilikua ikifika muda wa kipindi cha dini, kila dhehebu linaimba nyimbo zao, ila wakianza kuimba wasabato, nyinyi wengine lazima mjiulize "hivi tuko serious kweli?"
 
Back
Top Bottom