TheChoji JF-Expert Member Apr 14, 2009 5,516 16,983 Nov 9, 2010 #1 Hi wana jf, nilikua nimepotea kidogo sasa nimerudi full.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,994 12,764 Nov 9, 2010 #2 Ulipotelea wapi ndugu yangu, karibu sana, hapa tupo wengi ambao hukutuacha lakini sasa ni wenyeji zaidi yako. Karibu sana!!!
Ulipotelea wapi ndugu yangu, karibu sana, hapa tupo wengi ambao hukutuacha lakini sasa ni wenyeji zaidi yako. Karibu sana!!!
Speaker JF-Expert Member Aug 12, 2010 6,324 2,238 Nov 9, 2010 #3 welcome mkubwa,tumo ndani kwako ila "punguza" kila kilicho kufanya upotee usiondoke tena
S Samuel A K Member Mar 31, 2009 45 1 Nov 10, 2010 #5 Hujatujuza nani kakufuma wapi hadi umepatikana tena