Teh teh teh teheeee!!!!!Hallelujah,yaani ujinga haushi vituko na kutaka kuwatoa watu katika line ya kuutafuta ukweli
Haya huyo shetani anahusikaje hapa?
Sio kila wanalolifanya wao ni sahihi! Wao walikua daraja katika kuuleta ukristo ila sio wao ndo wana imani zaidi kuliko wengine....vile vile kumbuka na wao walipelekewa wao sio waanzilishi wa ukristo,mwanzilishi wa ukristo ni kristo mwenyewe kwaio kutokea kwa wao na kuutumia ukristo kama njia ya kufanya ushetani wao haimaanishi kwamba ukristo una tatizo!!! wenye tatizo ni wazungu mnaowakumbatia na kuona wana akili sana ,wazungu ni washenzi ndomana wao washatoka kwenye hizi imani sio kutokana hizi imani sio sahihi bali kutokana na ushenzi wao wanaotaka wauaminishe dunia! Ndomana wanatumia njia nyingi kupiganisha vita duniani kote,wanawalazimisha ulimwengu kuukubali ushoga kiwe kitu cha kawaida.....kwaio haya wanayoyafanya wazungu ni hulka yao na wapo ivyo na wataendelea kufanya ivyo! Muhimu ni kujenga msingi wa imani yako kupitia mafundisho ya kristo sio Kwakua wazungu wanaamini!Haya mambo yananisumbua sana na nikiwa mdogo nilijaribu sana kuuliza maswali ya udadisi sikujibiwa, Ukweli ni kwamba hizi Dini zinachanganya sana.
Moja ya vitu ambayo huwa sipati majibu yake:
1. Nani aliandika bible?
2. Je walio andika tunaaminishwa vipi hawakuweka mambo yao au kupunguza?
3. Kwa nini wakoloni walitumia gia ya dini kuingia Africa?
4. Ukiona nchi kama South Africa wale wachungaji wa kizungu yaani makaburu walikuwa na bible zao za kipekee kabisa za kuwahubiriwa weusi wa South Africa.
5. Kwa nini kwa sasa wazungu walio anzisha dini kule kwao hawaendi kanisani?
6. Tafiti zinaonyesha kwa sasa watu wanaoenda kanisani ni Africa, Asia na America ya kusini but Ulaya na Marekani Dini inapoteza kwa speed kari sana. Ni kwa nini inapotea?
7. Kwa nini Africa tunaaminishwa kwamba matatizo yanatatuliwa kupitia maombi? Mfano kama mvua haijanyesha muda mrefu tuaamini tukisali itanyesha, But Wazungu wanaamini katika sayansi mvua haijanyesha kwa sababu either watu wamekata miti sana, au vimbunga vimepungua na kazalika.
Kwa kifupi Kuna mambo mengi yalio fichwa kuhusu hizi Dini na Mungu kwa ujumla wake
mimi mambo ya BIBLE yamenipitia kushoto kidogo mkuu...Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
MO11 said:Nimekutana na watu ni wajinga
Ndio ni wajinga
wanaanza kulalamika wamebadilishiwa historia
kisha wakatumia biblia hiyo hiyo kuthibitisha wamebadilishiwa (ni ujinga first class)
kama wangetaka kubadilsha hata huo ushahidi usingeukuta
Unajua mzungu ni nani kwanza?Ujinga ni kusema wazungu sio superior huku hata simu unayotumia wamegundua wazungu
Aliyekwambia Binadam wa kwanza ni nyani nani?Ni ujinga kukubali binadamu wa kwanza ni nyani
Dume zima unakenua meno hovyo,Angalia town hapa kuna mafedhuli wa kila aina!ha ha ha ha ha
mimi mambo ya BIBLE yamenipitia kushoto kidogo mkuu...
huyo HORUS ni nani..?
poa mkuu...Mungu mwana wa misri ya kale
Hayupo kwenye Bible!
Naomba mistari ya hilo sualaBiblia iko wazi kuhusu rangi ya Yesu...
Yesu ni mweusi mpaka sasa na hajabadilikana ana nywele kama zangu....
Hahahahahahaha sio kwa majibu hayo[emoji115] [emoji115] yani nimecheka sanaaaaaaaaaPimbi wee
Unajua biblia iliandikwa na nani?
Na unajua wameibadilisha kiasi gani mpaka sasa
Unajua wisdom of solomonni kitabu gani?kipo kwenye biblia?
Unajua mzungu ni nani kwanza?
Unafahamu sayansi na philosophy vilianzia wapi kabla ya wazungu kuvipata?
Light bulb ya kwanza imetengenezwa na nani?
Mzungu?
Aliyekwambia Binadam wa kwanza ni nyani nani?
Au nyie ndo wasomi wa vijiweni,ukisikia mtu karopoka nawe unalibeba kama lilivyo
Dume zima unakenua meno hovyo,Angalia town hapa kuna mafedhuli wa kila aina!
Other verses
Ayubu 30:30
Ngozi yangu ni nyeusi,nayo yanitoka
Na mifupa yangu imeteketea kwa hari
Ayubu alikuwa ni Black pia.
Wimbo ulio bora 1:5
Mimi ni mweusi-mweusi,lakini ninao uzuri
Enyi binti wa Yerusalem
Mfano wa hema ya kedari
Kama mapazia ya suleimani
Msinichunguze kwa kuwa ni Mweusi...
Sulemani alikuwa ni Black pia.
Amos 9:7
Je!ninyi si kama wana wa Wakushi kwangu mimi,enyi wana wa Israeli,asema Bwana?
Huwezi kufananisha Maji na kitabu
Hapa wana wa Israel wanafananishwa na wana wa Kushi
Wakushi ni wa Ethiopia,ambao ni Blacks
Kama waisrael walikuwa ni white wasingefananishwa na Waethiopia.
1Wakoritho 11:14
Je! hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba Mwanamme akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake?
Wayahudi wa wakati huo,hawakuwa na kawaida ya kuwa na nywele ndefu
Lakini huyu anayefananishwa na Yesu ananywele ndefu
hivi huyu yesu ni muhimu sana??
Mungu yupo jaman amin hilo keep talking that am brainwashed, whatever but i believe Allah is everywhere....
Haya mambo yananisumbua sana na nikiwa mdogo nilijaribu sana kuuliza maswali ya udadisi sikujibiwa, Ukweli ni kwamba hizi Dini zinachanganya sana.