Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?

  • Total voters
    127
Ndiyo maana Freemasonry wana 33%
Uwezo wa ku create!
 
Watadai vipi wakati wamekwisha tuaminisha manabii wengi was white sasa ww chonga tu domo lako likiwa chongo weka chongeo chini ufanye kazi nyingine...unakuwa na akili za mijusi kenge vipi ww mzee.
 
Hawa jamaa wamenishangaza kwa kweli..yaani walichofanya ni kupindua mambo na kutoka kivyao. Halafu wamekuja na hayo mapichapicha yao ambayo hayapo popotw pale.
Kila kitu wanakiweka watakavyo halafu wanashinikiza wengine waamini hivyo.
Wengine kina nani mbn unajibu kidada acha woga sema wewe.
 
Kikubwa ni ku changanya na za kwako!
 
Wengine kina nani mbn unajibu kidada acha woga sema wewe.
Yeah huwa haishangazi kwa walioishiwa pumzi za hoja kwenda kuokota aima hiyo ya lygha na maneno na kuanza kuya tumia. Maana kwenu matusi ndiyo huwa faraja na kinga pekee ya kuwapunguzieni maumivu.
Ni kama wale jamaa wapenda ugomvi lakini mwisho hukimbilia mawe
 
Ni kama black Americans..walikuwa utumwani 400 yrs. Wakawa brain washed vya kutosha..historian ya kwao ikapotezwa kwa makusudi..Leo hii ukimwambia Pdidy your African atakupiga risasi
 
Ni kama black Americans..walikuwa utumwani 400 yrs. Wakawa brain washed vya kutosha..historian ya kwao ikapotezwa kwa makusudi..Leo hii ukimwambia Pdidy your African atakupiga risasi
Noo anakili yeye ni msomali
 
Wazungu wapumbavu sana ,wezi ,waongo wauaji ,,,watu weusi ndio original man of the planet Earth,,kama hutaki endelea kuwaabudi hao watu weupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada kama hizi zimeadimika sana jamiiforum siku hizi
 
Jesus was pure black nigger.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…