Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Oxidation is the loss of electrons during a reaction by a molecule, atom or ion. Oxidation occurs when the oxidation state of a molecule, atom or ion is increased. The opposite process is called reduction, which occurs when there is a gain of electrons or the oxidation state of an atom, molecule, or ion decreases.
 
Hujielewi
 
No, he wasn't black.
He came on the earth in the image of a man, The White Israel Person.
 
Mmmmmmh,,Mungu Yupo.
 
Mkuu nipe hii list ya masihi 16 nipate jipya.
 
Inasaidia nini kujua kuwa alikuwa black? Yesu ni Mungu, na Mungu ni Roho. Hayo ya rangi hayana maana na injili ya kishetani.

Ni injili moja tu inapaswa kuhubiriwa, "Tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia."
Hee yesu mungu tena?!
 
Siku zote vya ukweli lazima viwe ujinga endelea na kubwabwaja kwako kila mtu na imani yake mkuu.
 
Hebu nielimishe kidogo, kwani wayahudi ni black?
 
Mi naona wewe ndo unabwabwaja maana kama kila mtu na imani yake then why bother?ungenyamaza nisingejua upo hivyo...
Siku zote vya ukweli lazima viwe ujinga endelea na kubwabwaja kwako kila mtu na imani yake mkuu.
 
Sisi miafrika tuna inferiority complex sana.tunahangaika na kusema yesu ,david,ibrahim walikuwa weus as if it helps us now.ni upumbavu tu.huwez mkuta mzungu anadai mtu flan alikuwa mweupe ila sisi tumewanyang'anya. Hata ibrahim alikuwa mweusi, mussa pia alikuwa mweusi, haya nmekubaliana nawe tufanye mambo ya maendeleo ili na wazungu siku moja wadai bagosha alikuwa mweupe baada ya kuwa bagosha is a great man.
 
Well said
 
This is fascinating kwa kweli
Ngoja ni google!
 
Asante sana mleta mada ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…