Message aliyoleta Jesus ndio ya kufuatiliwa na sio ukabila au rangi ya ngozi yake. Kama alikuwa mweusi au mweupe doesnt make a difference. Tunapoteza energy kubwa kutafuta jibu lisilokuwa na manufaa yoyote kwetu.Mkuu, hayupo anayebeza umuhimu wa mitume na ujumbe walioleta. Ila ni jinai kulaghai watu kuwa pengine nabii Nuhu alikuwa Mmachame!
Message aliyoleta Jesus ndio ya kufuatiliwa na sio ukabila au rangi ya ngozi yake. Kama alikuwa mweusi au mweupe doesnt make a difference. Tunapoteza energy kubwa kutafuta jibu lisilokuwa na manufaa yoyote kwetu.
Soma baba haya mambo sio porojo yana ukweli ndani yakeHizi ni porojo ambazo hauna uthibitisho Nazo.
InterestingCasera Borgia alikuwa mtoto wa pili wa kiume wa Pope Alexander VI,mwanasiasa wa kiitaliano na Captain katika Papal military
Casera Borgia ana historia chafu si kidogo
Kwanza aliwai kumbaka Dada yake Lucrezia,
Pili aliwahi kumuua Kaka yake wa damu,Giovanni mwaka 1497
Mbaya zaidi alikuwa ni mpenzi wa so-called Universal Genius,Leonardo da vinci
Wakati wa utawala wake,Pope Alexander VI aliwaajiri watu wawili,Leonardo da vinci na Michelangalo wachore Picha itakayoudanganya ulimwengu mzima kuwa ni ya Yesu
Pia aliwataka wamtumie mwanae,Casera kama Model[mfano] wa picha hiyo
Kwa kuwa wote wawili,Leonardo na Michelangelo walikuwa Artists hodari wa wakati ule
Mashindano ya kaanza,kwa atakaye chora picha nzuri ya Yesu itayoudanganya ulimwengu mzima huku wakimtumia Casera kama Model ya hiyo picha.
Leonardo ndiye aliyeibuka mshindi katika shindano hilo,na kuanzia hapo taswira ya Yesu kama whiteman ikaanza Kusambaa kote
Na mimi niliwahi kusikia hilo piaInasemekana hata sanamu ya Yesu na ***** za zamani walikuwa weusi tii ila baadae ndo walikuja kuzibadilisha
Basi ndio hivyo...... Kuna ukweli ndani yakeNa mimi niliwahi kusikia hilo pia
Mkuu Jimena umepotelea wapi?Basi ndio hivyo...... Kuna ukweli ndani yake