Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Binadam. (Bin -Adam) au Mtoto wa Adam.
Binadam
Kisayansi Unaweza kumuita Homo sapiens ili kumtofautisha na viumbe wengine.

Na katika upimaji wa DNA inaonesha ni dhahili kuwa Binadam Wote walitokea Bala La Africa miaka 200,000 ilinipita

Lakini pia upimaji wa DNA mvuringo ambayo kila Mtu anarithi kwa mama inaonesha watumishi wa kwanza walizaliwa na Mama Mu-Africa alieishi miaka 130,000 Ilio pita.

Ueneaji wa hawa Binadam kutoka Africa ulianzia
Kuelekea Asia ndipo Australia na Ulaya kisha Amerika ya Kaskazini na kusini.
Hatimaye katika karne ya 20 watu walifika mpaka bara la Antaktika kufanya utafiti.

_______________________________
Ki-Mungu Sasa (Imani)

Binadam zamani walikuwa Weusi tu. Na ilipotokea tofauti ilibidi iainishwe...
Kuanzia Ibrahim baba wa Amani baba wa Mataifa alikua mweusi.

Na kumbuka ' Mungu akasema ' Natufanye Mtu kwa mfano wetu akatawale. Akamuumba Adam akampa kuitawala Dunia na vilivyomo. Nk

Sasa mtoto wa Ibrahim wa kwanza kwa Sara ISAKA alipata mke (Rebeka) nae akawa kama mama yake Isaka (Sara)
Yaani hakupata mtoto kwa wakati.
Sasa mara alipopata mimba , Ikawa ni mimba ya watoto mapacha .

Kama mama ajuavyo .ili watoto waoneshe uhai waoga tumboni inawalazimu kucheza-cheza. Ila kwa Rebeka haikuwa hivyo Bali watoto wale Walipigana tumboni. Ndipo ikatabilika kuwa ni mataifa ma 2 .

#Siku ya kuzaa ilipowadia Rebeka
Akamza Esau mtoto wa kwanza akiwa na Ngozi nyekundu na yenye vinyweleo (malaika) lakini katika kutoka Kwake tumboni wakati miguu ikimalizia kutoka
Mtoto wa pili Yakobo akafuata ilihali kamshika Esau kizigino.
Tofauti Kati ya ESAU NA YAKOBO
Esau alikuwa Mwekundu na Yakobo alikuwa na Rangi kama baba yake Isaka (nyeusi)
Rangi ya Esau ilikuwa ndo mpya kutoka Dunian. Ila kama familia zingine uonavyo huwa hawatupi mtoto mlemavu.
So kikawaida ESAU ni mlemavu.

Mnepha Tupe vitu bwana tulio tayari kuelewa sio kuamini

Einstein Newton Endelea kaka
 

Kaka taratibu maana nacheka hadi baasi. Naomba nenda nae taratibu. uzuri wa watu wetu wako potential to change. maana DNA zetu huactivated to a clear consciousness only once na there must be an event to trigger for the manifestation.

WATAELEWA TU. BIG UP SANA.
 
Mi napenda kujua Yesu alikimbilia wapi alipotaka kuuliwa? Sababu historia yake ya miaka 2 mpaka 11 haijazungumziwa alikuwa wapi?
 
Hakuna historia ya kibinadamu inayosema binadamu wa kwanza alipatikana Oldonyo lengai.
Historia ya wanahistoria yatuambia ya kuwa binadamu wa kwanza aliishi zaidi ya miaka 1,500,000 B.C na fuvu lake liligunduliwa 1959 na Dr Leakey Olduvai Gorge Ngorongoro na sio Oldonyo lengai.
 

Ndg, kiufupi sana kwanza inatakiwa kuelewa kitabu leo kinachoitwa BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vya hadithi, sheria, utabiri (Unabii) na historia ya jamii fulani, zilizoandikwa na waandishi mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali kwa malengo ya kufundisha, kukumbusha na kulinda maslahi ya jamii hio.

Hadithi hizi zimeandikwa kwa lugha mbalimbali. But primary language was Aramaic (Classical Hebrew). Sasa ukisoma Biblia ya Kiebrania neno ADAMU (Linaandikwa אדם ('Adamah) likiwa na maana ya "to be red", yaani "to the ruddy colour of human skin or RED Ground". Sasa katika ulimwengu wa kale, hata kwa kiarabu mtu mweupe leo enzi hizo alikuwa anaitwa "RED MAN".

Kwa maana hio, ADAMU alieongelewa kwenye Biblia kwa tafsiri ya original language of the book (Classical Hebrew) ina maana ADAM HAKUWA MTU MWEUSI BALI NI MWEKUNDU. Na ukisoma kwa umakini SIMULIZI HILI LA UUMBAJI utagundua kuwa ADAMU hakuwa pia mtu wa kwanza kuumbwa kwa maana there were pre-adamites ambao ni ABORIGINAL PEOPLE (Original from the Creator). Ndio maana KAIN alioa mwanamke nje ya kizazi cha ADAM.

Hivyo tujiulize nani alimuumba ADAM? ni MUNGU au ABORIGINALS? maana Kitabu cha Mwanzo Sura ya 1:26-31 waliumbwa watu na sio ADAM. na hawa watu waliumbwa wakatawale kila kitu ndani ya dunia. Sasa Je ADAM aliumbwa wakati gani?

Twende Simulizi la pili: Kitabu cha Mwanzo Sura ya 2:4-25. Kiumbe kilichoumbwa hapa kilikuwa Kimoja na ALIPEWA SHERIA LA KULA MATUNDA YA MITI YA PEMBEZONI NA ASILE MATUNDA YA MTI WA KATIKATI YA BUSTANI. Lakini viumbe vilivyoumbwa mwanzo walipewa umiliki wa kila kitu na walipewa pia ruhusa ya kula majani ya miti na nyasi kama ndio chakula chao hapakuwa na conditions au restrictions za uwepo wao na wao ndio waliumbwa kwa mfano wa SURA na UTUKUFU pia. Swali la kujiuliza ni kwanini walioumbwa mwanzo walipewa umiliki wa kila kitu lakini walioumbwa baadae waliminywa wasijihusishe baadhi ya mambo. Hawa wa KWANZA ni NANI na hawa wa PILI ni NANI.

Kuhusu ESAU na YAKOBO, nimependa ulivyosema ESAU was born RED na nimekueleza maana ya neno ADAMU kwa kiebrania kuwa ni "to be red", sasa nini maana ya masimulizi haya? LETS DIVE DEEPER on the story.

The Lord said to her,

“Two nations are in your womb,
and two peoples from within you will be separated;
one people will be stronger than the other,
and the older will serve the younger.”

24 When the time came for her to give birth, there were twin boys in her womb. 25 The first to come out was red, and his whole body was like a hairy garment; so they named him Esau.b]">[b] 26 After this, his brother came out, with his hand grasping Esau’s heel; so he was named Jacob

Points to NOTE:
WHY 2 NATIONS, and also THESE 2 NATIONS WILL BE SEPARATED?
and THE OLDER WILL SERVE THE YOUNGER? why? Tutaendelea maana hii sio THEOLOGY ni GENEALOGY.
 

HOW CAN THE JOURNEY CAME LATELY CAN AUTO SMART THE ELDERS? ALUTA CONTINUA MAPAMBANO BADO YANAENDELEA. BLACK POWER !!!!!
 

Hawatuwezi hata wakifanyaje, hizo technolojia zao ndizo zinatumika kusambaza CONSCIOUSNESS maana we are the nature, and you cant fight the nature. watawaweza watu kama akina KIKWETE na sio Akina MNEPHA, EINSTEIN NEWTON, NNJ7, MSHANA................ etc (endlessly).
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Mkuu wewe hushangai hata ziwa Victoria waliligundua watu weupe peee/wazungu ilhali waafrika/wazinza, wasukuma, wakenya na waganda walikuwa wakiishi na kuvua samaki humo? Kwa asili yangu, huwa maneno ya wazungu siyaamini kabisa. Mugambe anamuamini mzungu aliyekufa tu, hata mimi ni hivyo.
 
Lengo ni nini ?!
Ni kuthibitisha kuwa Yesu ilikuwa black or white?! km ni hivyo so tunakubali kuwa He was the "Son of God ?! km ni hivyo so tunakubaliana "the existence of God ?! If yes do u this this omnipotent God would allow His only begotten Son earthly origin to be hidden?!
God lives, so does Jesus
 
Lengo ni nini ?! Ni kuthibitisha kuwa Yesu alikuwa black or white?! km ni hivyo so tunakubali kuwa He was the "Son of God ?! km ni hivyo so tunakubaliana "the existence of God ?! If yes do u think this omnipotent God would allow His only begotten Son earthly origin to be hidden?!
God lives, so does Jesus
 
Mkuu kanisa la kwanza dunia halipo Africa wala Ethiopia.

Kanisa la kwanza africa pia halipo Ethiopia mkuu...lipo Egypt
 
Shetani ni super intelligent creature katika ulimwengu huu.... Kamwe ukweli hautojulikana kwa deceptions zake zilivyo tamu kuziamini.
Mungu atusaidie... Myself nina mengi ambayo yananishida kuunganisha dots kuhusu historia katika kila civilizations zilizopita na hii tuliyopo... Kuna lots of contradictions.... Ila tupate kujua kinachotafutwa katika dunia hii ni power/authority... hii ni enzi na enzi.......... christ consciousness itasaidia
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?

Wewe unaanzisha thread kwa kuweka vyanzo vya kihistoria halafu unauliza wengine maswali!
 
Wow I like it. Let me find a good time to discuss more
 
Mnepha


We Break they're theory and Rise ours Up.

Ni wakati sasa wa Mu-Africa kufuta zile propaganda na kuutafuta Ukweli..
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Stupid kabisa , hivi nani alikwambia ukiwa mweusi ni lazima uwe unaishi Afrika? unawajua aborigines Wa Australia? wale walikuwa weusi, kule nako ni Afrika?
 
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?

Barbarosa, Mtu mweupe hakumjua YESU mpaka pale tulipowapelekea maarifa. Ulaya sio ya wazungu. Ulaya ni ya weusi maana kabla Mzungu hajatoka mapangoni (Kumbuka WAZUNGU NI CAVE DWELLERS), MWEUSI alishajenga ULAYA.

CASTLE NA CATHEDRAL ZA ULAYA zimejengwa na weusi ambao walitawala ulaya kabla MZUNGU hajanawishwa uso.
Blacks are diverse people, the owner, the builder of world civilization. Wazungu hawakuwa na Lugha, hawakuwa wanajua kupika wala kuzika wafu wao. Utamaduni wa kijamii iliostaarabika wamefundishwa na WEUSI. Weupe walikuwa savage creatures.

Maandishi, sanaa, dini, lugha, elimu na sayansi tumewafundisha mara 3. Kwanza walipotolewa mapangoni kwa huruma ya wa Mungu, Mussa ndio alipewa jukumu lakuwafundisha angalao AMRI 10 wakati WEUSI walikuwa wanaziishi Sheria 42 ZA TOBA ya MAAT MIAKA 2500 BCE.

Pili: tukawapelekea Ustaarabu Enzi ya HELLENISTIC miaka 323 BCE, kwa kupitia wanaflasafa na wanahistoria wa kigiriki kama akina (Pluto, Aristotle, Socrates, Herodotus n.k) hawa wote walikuwa wanafunzi wa Misri na Kush (Ethiopia). WAGIRIKI ndio wakawastaarabisha WARUMI na ilipoanza dola ya kirumi hadi kuanguka kwake, ULAYA MAARIFA YAKAFA.

Tatu: Miaka ya 700 AD hadi 1454 AD, WAISRAEL (MOORS) wa Imani ya Kiislamu, walipeleka tena Elimu na Ustaarabu ULAYA. Hivyo wakatawala Ulaya miaka 800 na ndicho kipindi wazungu wanakiita DARK AGES IN EUROPE na karne ya 15 ndipo wakaanza kujitutumua kwa kujaribu kuwang'oa hawa WEUSI MOORS, ili wajitawale wenyewe. Kumbuka mwaka 1454 Jambazi "Kristofa Kolombas" (Sipendi kumwandika jina lake kizungu maana naandika kwa kiswahili ili watu waelewe) alipelekwa na WEUSI MOORS THE NAVIGATORS, VISIWA vya AMERIKA NA AMERIKA na huko akawakuta weusi wanaishi kipeponi kabisa AKADUWAA KUWAKUTA WEUSI HUKO AMERIKA.

Hivyo, Yesu wamepelekewa na ndio maana Cathedral zote ulaya zina watume na malaika WEUSI, Yesu na Maria wanaomuabudu ni Mweusi maana sanamu kuanzia Ureno hadi Urusi ni za weusi tupo.
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Hahaha mbona ziwa nyanza pia lilikuwa kwetu lkn wazungu wakaja kulivumbua?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…