mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
habari zenu wakuu,
najua wengi mtashangaa kwa nini nimeamua ku express hisia zangu hapa. sababu iliyonifanya ni kutokana na huyu bi dada namuogopa(sijui kwanini ila ninampenda sana ingawa sijawahi kumuona) sana kiasi kwamba nimeogopa kumzamia pm moja kwa moja.
sina maneno mengi ila ndio hivyo tena kaka yenu nimetokea kumpenda sana huyu dada anayeitwa warumi
warumi naomba unionee huruma me nateseka juu yako...najua unaweza kuhoji nakujua au nakufahamu? ki ukweli sikufahamu ila ndio hivyo moyo wangu umedondoka kwako.
please warumi naomba usinijibu vibaya ukaniumbua mwenzako. kama nimekuudhi naomba unisamehe kisha unipotezee. narudia tena dear kama nimekuudhi unisamehe na unipotezee.

Last edited by a moderator: