Warudisha chenji mna siri gani?

Warudisha chenji mna siri gani?

hata mim nimejiuliza hilo swali
Kama huna pesa kuchungulia ulicho nacho ni kawaida sana. Nidhamu ya matumizi inaanzia kujua umebakiwa na tsh ngapi. Enzi zile za "keep change" hata hujui mfuko una tsh ngapi sio huu.
Hizi zama za Magu......refer mwana FA
 
Back
Top Bottom