miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Ha ha ha inawezekanaHa ha haaa kwa uzoefu wako hii inawezekana, na huu ukata sisi wengine tumezoea ndogo inakuwa juu ili tuwahi kuitumia
Ha ha ha inawezekanaHa ha haaa kwa uzoefu wako hii inawezekana, na huu ukata sisi wengine tumezoea ndogo inakuwa juu ili tuwahi kuitumia
Mi nakwambia stress mbaya sanaKweli kabisa. Mambo mengine ya kizee. Itakuwa anajua maana guys Mwana si kwa kuchunguza huko
Pesa za Tz hasa Noti zinakuwa chafu sijui wanaziweka wapi..................????
Watu namna hiyo wananikera aiseeNipo maeneo fulan huku wao hata umpatie pesa mkononi chenji atakuwekea juu ya meza uchukue mwenyewe.
Nimemshikia nafas naskia mtahiniwa kwa sasa yupo chumba cha mtihani wa 4m 4Umeiba hiyo nsfasi
Utaliwa bure kwa kupenda pesaNaziomba hizo hela
mi si mwanamke kuliwa sio tatizo kabisaUtaliwa bure kwa kupenda pesa
weee mwanaume huyo!!Nimependa avata yako....ngoja nizichange nitakuambia niko wapi....goldie pesa hizoooo