Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,507
msisahau warombo wamebobea sana tkt uchumi na uinjinia
mkitaka data fikeni TRA, na makampuni ya ujenzi,UDSM coet,
sheria pia wapo ila sio wengi.
inaaminika warombo wengi asili yao ethiopia wakaoana na wakamba wakahamia chini ya mlima kuanzia rongai,tarakea,useri,mashati,mkuu hadi mengwe pia sehemu za marangu.
hawa watu nawaheshimu kwa kusaka hela na kusaidiana.