Warning

Warning

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,255
kwa wale machali wangu wa arusha,kuna jimamaa la kizungu jina kapuni viwanja vyake alihamis via via jmosi masai na j2 jioni utalikuta la fiesta ppf,jimamaa lina penda vijana mbaya,na mashaka ni mgonjwa ana tembea na vijana watano hadi sita kwa siku lina hela mbaya na linahonga vibaya.nashindwa kuelewa ni ugumu wa maisha au nikupenda bwerere vijana wengi wa arusha wanatega wazungu tu...asilimia kubwa ya wazungu ni H.I.V POSTIVE kule kwao wamesha wastukia so wanakuja africa kutafuta vijana wa kufa nao....OGOPENI WAZUNGU WA VIA VIA
 
Nasikitika kwa kuwa ndo kwanza umewapa habari njema hao vijana wetu kwa maana wanavyopenda mteremko naamini ndo wameshafika.
 
Kwani wadhungu hawatumii dume? Ama ndo nguvu ya pesa?

Kuacha ni impossible. Wamama wa kidhungu ni dili arusha kama ilivyo dar na wababu wa kidhungu.
 
Tangazo hili linaletwa kwenu na watu waishio marekani..
 
B'REAL hapo ndio unawatuma , yani tabia za binadamu ukimkataza kitu au kumshauri ndio anataka kufanya aone kama ni kweli. Nafikiri huyo mama ashikwe afanyiwe mahojiano.
 
Last edited by a moderator:
chezea white hunters..hata aambiwe anachet ve+ kwenye wallet,esp marasta..wamo tuu.. Pande za Arusha na Moshi. Maana imegundulika ndo njia ya kutoka kimaisha.
 
duu mbele ya mkwanja acha masihala kabisa au mkuu ulichezea cha mbavu nini pale via via ndo maana unakuja wosia wa baba..
 
B'REAL hapo ndio unawatuma , yani tabia za binadamu ukimkataza kitu au kumshauri ndio anataka kufanya aone kama ni kweli. Nafikiri huyo mama ashikwe afanyiwe mahojiano.

na askari wenyewe walivona njaa sijui kama itaweza fanya kazi..
 
Last edited by a moderator:
Ashikwe na nani sasa? Na hapa tulipo hamna mwenye uhakika kuwa ana hiv. Na isitoshe ukimwi anaoneza yeye una tofauti gani na anaoeneza mwanaasha na mzee moshi huku mtaani kwetu?

Acha vijana wale ili waliwe, hata mukulu ameruhusu!
B'REAL hapo ndio unawatuma , yani tabia za binadamu ukimkataza kitu au kumshauri ndio anataka kufanya aone kama ni kweli. Nafikiri huyo mama ashikwe afanyiwe mahojiano.
 
Last edited by a moderator:
Majimama (zinga) ya kizungu hayana market Ulaya, inawezekana hilo linapunguza stress ya kunyanyapaliwa kwao na wala halina ngoma.
 
utakufa ukiomba ushahihi... cha maana madogo waache au watumie kinga

Hebu kwenda zako unaleta mada za kivumi zaidi hazina prove usifikili UKIMWI ni kama chogo kila mtu analiona hata wewe unaejiona mtulivu unaweza kuathirika.Daaamn....
 
Kwani wadhungu hawatumii dume? Ama ndo nguvu ya pesa?

Kuacha ni impossible. Wamama wa kidhungu ni dili arusha kama ilivyo dar na wababu wa kidhungu.

Uwiiii.......nakuja Dar......huku Chugga vibabu vigumu sana kuvipata.....na nataka nianze matumizi ya Obagi......bila kibabu wakwetu itakula kwangu......
 
,sijawahi kuitamani ngozi nyeupe. Nachoka kabisaaaaaaaaaa!
 
mimi wamenikosa toka siku nyingi ,hofu yangu ni kwa wale wadogo zangu huko arachuga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom