Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Haa!kumbe nipo jukwaa la mapenzi
ha ha ha nanyie muache kutubania ili tusiwafatekazi kwa wafuga rasta maana hawa wazungu wamezidi kutuchukulia vijana wetu!
nina boksi la ndomu fanya mambo namba zake nipate dollaz maana majimama ya bongo wabahili mbaya sanakwa wale machali wangu wa arusha,kuna jimamaa la kizungu jina kapuni viwanja vyake alihamis via via jmosi masai na j2 jioni utalikuta la fiesta ppf,jimamaa lina penda vijana mbaya,na mashaka ni mgonjwa ana tembea na vijana watano hadi sita kwa siku lina hela mbaya na linahonga vibaya.nashindwa kuelewa ni ugumu wa maisha au nikupenda bwerere vijana wengi wa arusha wanatega wazungu tu...asilimia kubwa ya wazungu ni H.I.V POSTIVE kule kwao wamesha wastukia so wanakuja africa kutafuta vijana wa kufa nao....OGOPENI WAZUNGU WA VIA VIA
King'asti umenena manake kuna kipindi nilimkuta mahali kijana wa kitanzania ni sex slave jimama la kizungu limemtoa Tanzania huko kwao kamfanya sex slave hatoki, hadi passport mama kaficha anamletea hadi mashoga zake kaka awaridhisheKwani wadhungu hawatumii dume? Ama ndo nguvu ya pesa?
Kuacha ni impossible. Wamama wa kidhungu ni dili arusha kama ilivyo dar na wababu wa kidhungu.
ha ha ha nanyie muache kutubania ili tusiwafate
nina boksi la ndomu fanya mambo namba zake nipate dollaz maana majimama ya bongo wabahili mbaya sana
Ushaidi please mtoa maada.
kwa wale machali wangu wa arusha,kuna jimamaa la kizungu jina kapuni viwanja vyake alihamis via via jmosi masai na j2 jioni utalikuta la fiesta ppf,jimamaa lina penda vijana mbaya,na mashaka ni mgonjwa ana tembea na vijana watano hadi sita kwa siku lina hela mbaya na linahonga vibaya.nashindwa kuelewa ni ugumu wa maisha au nikupenda bwerere vijana wengi wa arusha wanatega wazungu tu...asilimia kubwa ya wazungu ni H.I.V POSTIVE kule kwao wamesha wastukia so wanakuja africa kutafuta vijana wa kufa nao....OGOPENI WAZUNGU WA VIA VIA