Una maana wanawake ndiyo wanaofanya wanaume wasijenge? Mbona mimi mwanamke wangu ndiye kanifanya nipunguze starehe na kuwapa marafiki zangu bia mpaka marafiki zangu wakamchukia, lakini akasababisha nijenge nyumba 2 mpaka sasa na kununua usafiri.WARNING TO ALL MEN!!...
1 Brazilian hair = 68 bags of cement
1 Handbag = 10 Tankers of water
1 Quality shoe = 1 Trailer of sand
1 iphone 5 = 6500 Blocks
Just these are enough to build a 2-
bedroom
flat. LADIES PLEEEEEEEEASE let your
boyfriends
be LANDLORDS this year!
nafikiri nimeeleweka....
ha haaa, kweli babu, PW iliibiwa.......Uzuri ni kwamba akili ya babu imegoma mapema alfajiri kuwa haya siyo maandishi ya mkubwa mwenzangu FP....Mwenye mapoint ya kufanyia reference na wajukuu wangu wote.....No, it can't be!
Ila utunze vizuri nenosiri ili hawa wajukuu watundu akina snowhite wasipate access!
Babu DC!!
hahahaha...ashakuwa mkubwa sikuhizi
Sitakusamehe kwa hili. Na umri wangu huu unanichomesha mahindi muda wote huo?
mdogo wangu, kwani wanawalazimisha kutoa hayo mafungu? si unakataa tu na unasepa zako?
Kuna mtu nilimsikia akisema .... Sio pombe inayomaliza pesa, kinachomaliza pesa ni wanawake
Aisee, Carlord, Warlord, Landlord, Puzzylord na Druglord.
ha haaa, kweli babu, PW iliibiwa.......
yaani mimi kabisa naweza andika haya? haiingii akilini kabisa.
My dear..ulitakiwa utoe neno litakalobatilisha maoni ya hawa mabazazi!!!
Sifa ya mwanaume kuhonga mengine mbwembwe tu!!!!
Bado sijawa mkubwa bado....usinikane
Vipi ushajenga wewe? kama vipi tuwekee basi picha ya nyumba yako na usafiri wakosijaona gharama hapo so long nampenda na naenjoy nikiwa naye naweza fanya thrice as much...!
Na wewe ukubali zako ziliwe pia sio mle zao tuu ili muende sawa si mnataka haki sawaacha ubahili wewe tafuta pesa tutumie ....kwani miaka yako yote utakuwa unajenga?
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.
Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.
Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.
Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.
Lakini kuhonga ni kipaji shosti wachache wenye kipajii