Warning to all men

Kuna mtu nilimsikia akisema .... Sio pombe inayomaliza pesa, kinachomaliza pesa ni wanawake
 

..Amen to that!
 
Shida ukiwa blinded na wivu ndio matokeo yake hayo. Haya baba kiwanja inatosha, kwa muda binti mangi atasuka yeboyebo.
Cc: snowhite
ahahaahahahhahahaha kwa mwendo wa kuwa na baba mkwe mnoko kama mumeo
ehehhe itabid mcutee wangu awe tu na dreads kama mamake ,manake babushka hachelewi kumuuliza sonushka hv zile nywele za mkeo si ni mtaji tosha??
cc The Boss as a warning note
lol!
 
ha haaa, jiandae kukosa mabinti mkwe.....
utabaki na bibi tu....
magari tunapaki CCM babu, halafu tunakoishi hakujulikani, full Yahaya
 
Hapo umemaliza kitu. Unakuta mtu bila aibu kabisa ana magari kama 3 hivi, thamani yake zaidi ya 50m ila bila aibu anayapaki nyumbani kwa mwanamume mwenzake....!

Babu DC!!
ha haaa, acheni unoko, lol!
kwani akipaki anachukua kiwanja chako?
 


mbony shafoo klemeee............baneni hivyo vipesa vizuri vitawapita!!!!
 
Kupanga ni kuchagua. Ujumbe umetufikia vizuri sana. Hongera mtoa uzi
 


kashaga umeeleweka!!!
Asprin..............with due respect........yani kwa hivi vigharama utamuacha Mayasa kisa ujenge nyumba ya 2 bedrooms!?!?!?!?!?!?!?!?!!?!?!?!?!? A two-bedroom house?!?!?!?!?!?!?!?!?!?!!?!?! mmmhhhhhhhhhhhh!!!!!:A S 27:
 
Last edited by a moderator:

The value of one iPhone 5 equivalent to 6500 blocks? I doubt!
But the point you driving home is valid.
 
Aisee natafuta matenki ya maji kama Simtank, kama kuna mtu anauza bei rahisi,

Nikipata hay tu, basi ujezi kwisha na ninaanza kuhonga.
 
ha haaa, acheni unoko, lol!
kwani akipaki anachukua kiwanja chako?


Uzuri ni kwamba akili ya babu imegoma mapema alfajiri kuwa haya siyo maandishi ya mkubwa mwenzangu FP....Mwenye mapoint ya kufanyia reference na wajukuu wangu wote.....No, it can't be!

Ila utunze vizuri nenosiri ili hawa wajukuu watundu akina snowhite wasipate access!

Babu DC!!
 
kashaga umeeleweka!!!
Asprin..............with due respect........yani kwa hivi vigharama utamuacha Mayasa kisa ujenge nyumba ya 2 bedrooms!?!?!?!?!?!?!?!?!!?!?!?!?!? A two-bedroom house?!?!?!?!?!?!?!?!?!?!!?!?! mmmhhhhhhhhhhhh!!!!!:A S 27:
asante kwa kuelewa somo!! be blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…