Dunia nzima kuna Baba mwenye nyumba,hakuna Baba mwenye gari!. 2014 kijana jipange!
Aisee, Carlord, Warlord, Landlord, Puzzylord na Druglord.
Post zingine zinachoma kama nini.Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.
Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.
Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.
Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.
Nimeipenda hii.bt inawork sana kama kwenye relationship kuna future inside.
WARNING TO ALL MEN!!...
1 Brazilian hair = 68 bags of cement
1 Handbag = 10 Tankers of water
1 Quality shoe = 1 Trailer of sand
1 iphone 5 = 6500 Blocks
Just these are enough to build a 2-
bedroom
flat. LADIES PLEEEEEEEEASE let your
boyfriends
be LANDLORDS this year!
nafikiri nimeeleweka....
Aisee, Carlord, Warlord, Landlord, Puzzylord na Druglord.
Post zingine zinachoma kama nini.
WARNING TO ALL MEN!!...
1 Brazilian hair = 68 bags of cement
1 Handbag = 10 Tankers of water
1 Quality shoe = 1 Trailer of sand
1 iphone 5 = 6500 Blocks
Just these are enough to build a 2-
bedroom
flat. LADIES PLEEEEEEEEASE let your
boyfriends
be LANDLORDS this year!
nafikiri nimeeleweka....
Ubahiri tu !! Utakufa afu unaacha vyote ukose hata wakukulilia msibani !! Loh!
Ubahiri tu !! Utakufa afu unaacha vyote ukose hata wakukulilia msibani !! Loh!
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.