Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Hawa Wakandarasi ni noma kwel kitu wameshindwa kutengeneza ni Roho tu vingine vyote they copy & paste ileile yenyewe i salute them ila hizi simu hazina shida sana coz they do same work as Original tatizo ni Quality & Quantity Mkuu....!
 
Hembu naomba maelekezo Mazuri , mtaa wa agrey duka linaitwaje?? Hauna mawasiliano yao zaidi??
kariakoo mtaa wa aggrey nenda pale s4 wanaanzia 200, s4 mini wanaanzia 180, s3 wanaanzia 150 na s3 mini waanzia 120
 
Hembu naomba maelekezo Mazuri , mtaa wa agrey duka linaitwaje?? Hauna mawasiliano yao zaidi??
aisee sina mawasiliano nao ila maduka mengi sana kariakoo yanauza hizi clone
 
We wala usiende mbali saaana, zote huwa hazina 3G wala LTE technology. Sasa kabla hujalipia we tia sim card isipoleta 3G ama 4G yaani LTE jua tu hapo hamna kitu kaa chonjo😛
 
aisee hiyo imetokea leo kn mshkaji amenunua clone 300,000/- lakini baada ya kuii-test kumbe ni famba!

anyway samsung original yoyote inakuwa tested na code *#0*# ambayo inakupa optinion ya kutest chochote kwenye simu na kugundua kama ni fake auu lah! kuna fake ambazo hazikubali hiyo code!
Tuwe makini kwenye mchina!
 
We wala usiende mbali saaana, zote huwa hazina 3G wala LTE technology. Sasa kabla hujalipia we tia sim card isipoleta 3G ama 4G yaani LTE jua tu hapo hamna kitu kaa chonjo😛
mi natumia hii clone ya s4 mini kwasasa na ina 3G kiukweli kama sio mjuzi wa hizi simu kwa kasi fulani unaweza pigwa zaidi

hizi simu utofauti wake upo kwenye ram, processer na baadhi ya features nyengine ambazo hazionekani kwa macho ya kikawaida
 
huyu mchina wa hizi clone ni kiboko na hiyo testing code ya *#0*# inakubali kama kawa
 
Kuna moja niliikuta kwa checkbob mmoja cameta ni 13MP ila ukipiga picha utagundua kila picha haizidi 500kb kitu ambacho ni ajabu kukikuta katika hd cameras
 
Kuna moja niliikuta kwa checkbob mmoja cameta ni 13MP ila ukipiga picha utagundua kila picha haizidi 500kb kitu ambacho ni ajabu kukikuta katika hd cameras
hizo si clone hizi camera zake ni round 5mega pixels, hozo ni zile mchina wenyewe ambazo kwanza hazitumii os ya android zenyewe ni java
 
hizo si clone hizi camera zake ni round 5mega pixels, hozo ni zile mchina wenyewe ambazo kwanza hazitumii os ya android zenyewe ni java

Wewe bado nikakutana na copy ya mchina,hakuna java wala nini full copy
 
huyu mchina wa hizi clone ni kiboko na hiyo testing code ya *#0*# inakubali kama kawa
SIO KWELI, HAKUNA SAMSUNG FAKE INAYOKUBALI TESTING CODE *#0*#. Ataiga vyote lakini hiyo hatajaribu kwakuwa ni agreements zinazombana kibiashara ili kulinda origin brand . Angalia hata kwa NOKIA- hakuna FAKE ITAKAYO RESPOND KWA TESTING CODE YA *#0000#. HAYO MADOIDO YOOOTE SEMENI KUWA ANA COPY. Nakama yupo mwenye fake inayo respond hiyo code basi sema na kama ni kweli Basi hiyo fake itakuwa imetengenezwa huko tz. Pia isije mtu kauziwa simu ambazo zilizejeshwa ndani ya terms of guarantee kama wanavyofanya wafanya biashara wengi wa kati hata kama ni original hasa kwakuona usumbufu kurejesha kwa manufactural.
 
sijakuelewa kuna sehemu unasema hakuna simu za clone zenye kukubali hiyo code afu kuna sehemu unasema kama ipo basi ni sema wakati mwanzo hapo kwenye red umesema hatajaribu

enewei kwa ufupi nimetumia sana pamoja na kuuza hizi clone hivyo basi kwa uhakika kabisa NINASEMA HII CODE INAKUBALI kwenye hizi clone bila matatizo nakushauri tafuta clone ujaribu mwenyewe
 
Mimi tayari nimeisha ingizwa mjini ingawa mimi nimenunua galax 4 kwa laki tatu na nusu. Ki muonekano haina tofauti na hata ukitumia *#0*# mambo yanakubali lakini inakosa kitu kimoja sensor ambayo galax original inayo.
 
MI NNAYO HAPA HIYO GALAXY S4(nadhani ni S4 maana nikiwasha inaandika ile LIFE COMPANION) SIO ORIGINAL MAANA SIJUI TOFAUTI YA CLONE NA FEKI, NA INAKUBALI HII CODE *#0*# NA NIMETEST KILA KITU.

Mkuu zipo tena kwa bei zaid ya hyo nimezshuhudia mwenyewe kwa macho yangu kuzitofautisha mpaka uwe mjanja wa simu.tena sio kidogo ndo maana me ckuhz natumia mchina coz inakila kitu ninachokitaka
 
MI NNAYO HAPA HIYO GALAXY S4(nadhani ni S4 maana nikiwasha inaandika ile LIFE COMPANION) SIO ORIGINAL MAANA SIJUI TOFAUTI YA CLONE NA FEKI, NA INAKUBALI HII CODE *#0*# NA NIMETEST KILA KITU.
. Basi kama ni kweli itakuwa ni ajabu sana, ila cha msingi kwanza uelewe kuwa simu zote original zimesajiliwa IMEI. Hivyo kwakuanzia hebu ingia kwenye Link ya IMEI then ingiza IMEI/REG No ya simu yako na kama ni original basi itakupa details zote zinazofanana na simu yako na ukiona tofauti basi sio. Inawezekana hiyo simu yako ni original ila wewe unaishitukia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…