Usinisemee bwana. We una maneno matam matam.
Uliangusha kijana wa watu, hadi leo u-player umeisha,
ametulia tuliiiii, tukimjaribu kwa-flirt analog off. lol
Kama utanisemea kwa muuza pet basi uwe unaniweka in CC.
Kuna mtu kapotea kianina, anaingia kwa machali.ha ha ha, nani tena huyo mkimjaribu ana log off??? Labda kawa Washawasha.
Mie nataka tumzukie pet kwa mashambulizi ya Iraq hadi awe mpole na yeye.
Kuna mtu kapotea kianina, anaingia kwa machali.
Alianzishiwa thread April mosi, alikua online, aka log off. lol
Huyo wa pet, labda PetCash. isiwe yule muuza pet mwenywe, please.
Ongea nae, mwambie asiondoke, tumesha mzowea.duh, huyo wa aliamua kupotea kwa hiari.
Sihusiki na upoteaji wake, labda kawa Washawasha.
Owkay, basi tutaongea na Petcash, ila mada itakuwa nini?
Maana nilitaka tuangukekule kwa maneno matam matam.
Ongea nae, mwambie asiondoke, tumesha mzowea.
Akienda tutammiss sana, tutakosa wa kutupeleka journey in the heart of JF.
Sasa mi nitapigana front ngapi?mtakumbuka boundary zenu??
Kama mta-observe boundaries ntamwita muda si mrefu.
Si unajua tena, chunga kilicho chako lol 🙂
Yupi tena? mi niko single bwana.Teh teh teh DEAL! Ila nihakikishie tu yule mshkaji hataniua...
Si yule room mate aka bed mate....
Sasa mi nitapigana front ngapi?
Kuna moja ile nimedevelop interest (ila mkaka kafunga PM hakyanani!)
ingine ni ile naona kama challenge (ya kupunguza uvivu tu)
Hii nimesema tu ili idadi ya active member isishuke, But sio personal kiivo,
kama utashindwa kumconvince mwache aende.
Wivu huo wewe huna lolote
ha ha ha, mie naanguka PM for you.
Kwa yule anayeuza mnyama.
Am so taken somewhere lol 🙁
Usinisemee bwana. We una maneno matam matam.
Uliangusha kijana wa watu, hadi leo u-player umeisha,
ametulia tuliiiii, tukimjaribu kwa-flirt analog off. lol
Kama utanisemea kwa muuza pet basi uwe unaniweka in CC.
mbona huyo anajulikana ni toothless and clawless animal.
Can't even kill a fly.