WARNING: Barabara ya Dar - Arusha si salama usiku!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Taarifa imetolewa kuwa barabara ya kwenda Arusha kutokea Dar eneo la Same haifai kwa nyakati za usiku kwa wakati huu kwani imekumbwa na mafuriko. Tafadhali kama una ndugu au jamaa anasafiri usiku mfahamishe asifanye safari usiku kwani anaweza kusombwa na maji ama kukumbwa na dhahma.

Shukrani kwa kusoma na kuusambaza ujumbe
 
Back
Top Bottom