Warioba: Nilimwambia Nchimbi CCM inakufa

Warioba: Nilimwambia Nchimbi CCM inakufa

Hata hivyo Nyerere hakua mtu mbaya,waliokua wakipigwa shoti walikua ndio watu waovu.
Ushahidi ni Nyerere alikufa masikini, wakati Hawa viongozi wa Leo ni majambazi wanaoiibia nchi.
Hivyo Warioba alikua sawa.
Hapana.
Mwalimu Nyerere "hakufa maskini."
Atakufaje maskini wakati kaacha taifa alilolitumikia kwa uzalendo mkubwa likiwa tulivu na ushikamano?

Wanaokufa maskini ni hawa akina Kikwete ; Samia na Genge lote wanaolitumbukiza taifa kwenye majanga makubwa.
 
So what mzee alikuwa chawa wa Nyerere akiwapiga short wengine

USSR

Kolimba alisema CCM imekosa dira na mwelekeo , akaitwa kwenye kikao 1997 alipotoka kumbe kuna mahali alitegewa sumu akafariki.

Je chawa unalijua hili?

images - 2026-08-28T094113.352.jpeg
 
Siku hizi kila nikilala... Nalala naomba s100na genge lake wapigwe stroke wafe kifo cha miqundu juu!!. Na naamini mpk April 22 atakuwa amepigwa stroke .
 
Back
Top Bottom